MKUU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA UWEKE LINK YANGU HAPA KIJIJINI KWETU http://magangam.blogspot.com
ASANTE TUPO PAMOJA
At 10:40pm on Desemba 9, 2009, Mama Malaika anasema…
Nimepita kukusalimu, leo nilikuwa busy sana ndio maana hatujaongea. Usiku mwema
At 7:15pm on Desemba 7, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante sana kwa salamu from the main page. Ujue the Black Diamond hiyo ni jengo jipya limefunguliwa 1999, mie wakati nipo hapo (1993-1995) kulikuwa na old party ambayo ni the Royal Library, ambayo yaunganishwa na Black Diamond na vima-madaraja. Humo Library utakuta vitabu vya mtunzi mashuhuri duniani wa vitabu miaka 200 iliyopita. Mtunzi aliitwa Hans Christian Andersen na alizaliwa mji wa Odense hapo Denmark.
Yani wanitia wazimu wa kuja tena huko ingawa nimekuja miaka ya karibuni na kuishia Horsens & Aarhus, na sio Kobenhavn. Tumepanga kuwaleta kina Malaika waone mama aliposoma... lol...
Naona wataka kurudi bongo mapema, baridi ya huku tumeizoea wenyewe. Malaika kaniuliza mbona umejifunika sana kwenye picha, nimemwambia hujazoea baridi. Ha haa haa
Sasa Kamanda Roho yangu imetulia baada ya kuona na mjaladio wako wa nguvu wa kuokoa mtu.ikizidi tena unatandika Kaki KINYLELAMUMO kwa kiswahili silijui (kale kasuruari kajoto kembamba)kazi kwako .
Uwe na siku Njema na Ubarikiwe sana
Pole sana kamanda wangu mmhhh angalia sasa usije ukabeba Blanketi CHAPA MTU,itabidi tu UKAZE ZE BUTI kweli kweli,kama mimi naweza kwanini wewe ushindwe, KOTi ZITO ,Kofia ,Skafu nzito socks nzito za cotton,Na BUTI la KIWANGO cha kupambana na baridi, na Misosi yenyewe Tee muhimu mtu wngu,Angalia usije ukaugua ushindwe hata kuzurula mitaani tukose taswira zako.
Mkutano mwema nakutakia.
2kopa1
Maoni ya Babukadja
Comment Wall (2,052 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
uwe na siku njema
Happy New Year!!
http://magangam.blogspot.com
ASANTE TUPO PAMOJA
Yani wanitia wazimu wa kuja tena huko ingawa nimekuja miaka ya karibuni na kuishia Horsens & Aarhus, na sio Kobenhavn. Tumepanga kuwaleta kina Malaika waone mama aliposoma... lol...
Naona wataka kurudi bongo mapema, baridi ya huku tumeizoea wenyewe. Malaika kaniuliza mbona umejifunika sana kwenye picha, nimemwambia hujazoea baridi. Ha haa haa
Uwe na siku Njema na Ubarikiwe sana
Mkutano mwema nakutakia.
2kopa1
Karibu
FotoBaraza.Net
JIUNGE
au Ingia Kijijini
Kuhusu
Besdei za Kuzaliwa
Wazaliwao Leo
Hussein athuman Mwinge Gift
Wazaliwao Kesho
Thabit Lema Gift
Mathew Senga Gift
© 2010 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Beji | Report an Issue | Faragha | Terms of Service