Mwana tupo pa1. Cku ile nilikuwa naumwa mkuu, hadi sasa cpo fresh sana ila nilipania sana kuja. Mimi nahic Oswd aliniroga, ili totoz zote azimiliki yeye hahahahaaaaaaa.
nashukuru kwa kupita kibarazani kwangu na salamu zako nimezipata ispokuwa kama ulivyoona tangazo la msiba hapa kijijini tulikuwa tunaomboleza msiba wa mwanakijiji mwenzetu marehemu Salim Zuze lakini tunashukuru tumemaliza salama.
na sasa napatikana kwa wingi tu hapa kijijini, usijali tupo pamoja.
nakutakia siku njema
At 11:24am on Ocktoba 27, 2009, Omari Namanji anasema…
Mambo vipi kaka mzima wewe
mimi mzima wa afya njema
nakutkia mchana mwema
baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Maoni ya Araway
Comment Wall (633 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
nakupa hi kaka, wasalimie huko mji kasoro bahari.
Msalimie sana, halafu fanya mipango fasta usije ukaporwa na fataki
Amani kwako mkuu
nimekutumia yale maua uyapendayo,lol we nawe una presha.
Amani kwako mkuu
2po pa1
na sasa napatikana kwa wingi tu hapa kijijini, usijali tupo pamoja.
nakutakia siku njema
mimi mzima wa afya njema
nakutkia mchana mwema
baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Karibu
FotoBaraza
JIUNGE
au Ingia Kijijini
Kuhusu
Muziki
© 2010 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Beji | Report an Issue | Faragha | Terms of Service