FotoBaraza.Net

Maoni ya Araway

Comment Wall (625 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 10:36pm on Novemba 11, 2009, james anasema…
Thanx brother araway kwa ukaribisho wako
At 6:44am on Novemba 11, 2009, Ritha T anasema…
angalia yahoo yako baadae.
nimekutumia yale maua uyapendayo,lol we nawe una presha.
At 6:38am on Novemba 11, 2009, Dismas anasema…
Kakaaaaaa! tumegombana nini? au ni kale kahela ninacho kudai ndo kanakufanya ucje kwangu hahahahaaaaaa.

Amani kwako mkuu
2po pa1
At 7:44pm on Novemba 10, 2009, Mama Malaika anasema…
Mulibwanji!!
At 3:28pm on Novemba 10, 2009, Sarah anasema…
Mic yoo tuu mwah!
At 2:28pm on Novemba 9, 2009, Mama Malaika anasema…
Salama hapa? Nilifurahi kweli kuongea nawe Jmosi.
At 3:50pm on Novemba 5, 2009, Mama Malaika anasema…
Pole sana... nilipoona kimya nikajua lazima utakuwa na tatizo. Vipi magimbi ndio msimu wake au bado?
At 6:31pm on Ocktoba 30, 2009, Mama Malaika anasema…
Habari ya hapa jamani?
At 4:00pm on Ocktoba 28, 2009, Omari Namanji anasema…
kaka mbona kimya
At 11:42pm on Ocktoba 27, 2009, komredi anasema…
nashukuru kwa kupita kibarazani kwangu na salamu zako nimezipata ispokuwa kama ulivyoona tangazo la msiba hapa kijijini tulikuwa tunaomboleza msiba wa mwanakijiji mwenzetu marehemu Salim Zuze lakini tunashukuru tumemaliza salama.
na sasa napatikana kwa wingi tu hapa kijijini, usijali tupo pamoja.
nakutakia siku njema
At 11:24am on Ocktoba 27, 2009, Omari Namanji anasema…
Mambo vipi kaka mzima wewe
mimi mzima wa afya njema
nakutkia mchana mwema
baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 7:20pm on Ocktoba 24, 2009, cherry anasema…
Nakatiza mitaani kutoa salamu.
At 7:39am on Ocktoba 20, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
sema mzee wa dar mpaka moro! umeadimika sana mtu mzima! uwe na siku njema
At 12:59am on Ocktoba 20, 2009, EDO NDAKI anasema…
nimepita kukujilia hali na kusikiliza kidogo huo wimbo wa anita..naona umeweka sauti juu au redio yako mpya..a.aa..a
At 3:03pm on Ocktoba 19, 2009, Michuzi Jr anasema…
salama mkuu??
At 3:39pm on Ocktoba 16, 2009, Don Magere anasema…
Mkuu hapa kwangu ni kwema sana ila kuna Baridi kali na mvua nyingi mno.Nashukuru kwa kubarizi katika kibaraza changu.
Weekend njema nakutakia na magimbi mema pia.
At 2:50pm on Ocktoba 16, 2009, Lucie wa mama anasema…
Mambo? unajifanya unajua kuuchunaeeeh?
Ok uwe na w end njema
At 1:24pm on Ocktoba 16, 2009, Ritha T anasema…
Mi thijambo my ice,
siku ile si unakumbuka nilienda kanisani ndo mana nikawa not rechable,ila nimemaind kweli.
At 7:33am on Ocktoba 16, 2009, Chaoga Tonge anasema…
nipo mkuu ila huu mgao wa umeme tu ndio unatupoteza kimtindo, natumaini huko moro shwaaari kabisa
At 6:51pm on Ocktoba 15, 2009, Mama Malaika anasema…
za huko lakini? Mie nitakuletea kesi za kina Malaika unisaidiekutatua maana hizo ndio ngumu kupita maelezo. Ha haaa

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter