At 6:32pm on Julai 29, 2009, Mathew Senga anasema…
I see nashukuru sana kwa pole, nakupa pole sana pia mkuu kwa kukatwa miguu. Tanzania ni nchi ya ajabu kweli!Mtu unaibiwa chombo cha usafiri na polisi wanashindwa kukikamata!!!Pole mkuu, lets hope litapatikana, la Mungu atasaidia pamoja na juhudi litapatikana jingine
Jamani asante sana kaka yangu Araway kwa kunisalimu na maoni yako tupo pamoja sasa , ha ha haaa!! watoto wa sikuhizi hawajali mbwani kumfundisha tuu maadili mazuri!!.
By the way I love your articles/poems!!
weeee!! pole sana mkuu!! tatizo hatujajuana vizuri humu ndani,suaa hilo lingekuwa solved faster,ila usijali sana,waliofanya hivyo ndyo wanaikomaza akili yako iwezefanya mambo makubwa kuliko.
'Vipi,si ulikuwa umekatia insuarence!!!
pole sana mtu wangu.
Nakushukuru sana kwa kunisabahi, kwa sasa nimemaliza shule last week namshukuru Mungu. Moro wanasemaje? Nipo Dar napumzika kabla sija report kazini.
DAda
Nakushukuru sana kwa kunisabahi, kwa sasa nimemaliza shule last week namshukuru Mungu. Moro wanasemaje? Nipo Dar napumzika kabla sija report kazini.
DAda
Maoni ya Araway
Comment Wall (625 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
By the way I love your articles/poems!!
Njoo nikupe moja bas maana yananisumbua mie hapa lol
siku njema na baadae bas ucikose
'Vipi,si ulikuwa umekatia insuarence!!!
pole sana mtu wangu.
hata mimi imeniuma kweli jamani,lakini jitahidi ufatilie kama nilivyokwambia.
nakutakia siku njema mkuu.tukutane kibarazani baadaye!!!
DAda
DAda
Karibu
FotoBaraza.Net
JIUNGE
au Ingia Kijijini
Kuhusu
Besdei za Kuzaliwa
Wazaliwao Leo
Hussein athuman Mwinge Gift
Wazaliwao Kesho
Thabit Lema Gift
Mathew Senga Gift
© 2010 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Beji | Report an Issue | Faragha | Terms of Service