Inaelekea siku hiyo ilikuwa safi sana.Natamani sana ningekuwepo.Ila ckukuona wakati wa kuselebuka, nilitaka nione utaalamu wako katika suala zima la kusakata rumba hahaahaahahaahaahahahahaaa.Ila Majoy ni noma, nilimcheki anavyosakata rumba.Mi nilidhani ni Yondo Sister hahaahahahaa
Haya mwaya sasa tutafanyanye kama wanaotupa misaada wanaanza kujitetea kwa mtikisiko wa uchumi?!!! msemo wako dia hapa dawa ni kukopa tu na kujianzishia kimradi hata kama cha kuuza ice cream za sh.50 c unazijua zile za uswazi? najua huwezi kukosa wateja unless mtaani kwako kuwe hakuna watoto wa shule!!!!
Oke mpenzi nakutakia cku na kazi njema huko uliko.
Pole na baridi sasa ngoja nikufundishe njia ya kukomesha baridi....chukua kopo la bati lenye mshikio then tia makaa ya moto ndani yake,funika kwa juu halafu kila unapoenda unacho kikopo chako kwa penmbeni mbona baridi itakukomaaa hahahaa!! ila usivae nguo ya nailoni maana utaungua.
Enhee lete habari ni vp haka kamtikisiko ka uchumi kanakupa changamoto hebu niambie mwenzangu research zenu zinaoneshaje kwa ss tulio kwenye harakati za kuendelea.
Kazi njema mpendwa be good.
Ucjali mamii kazi ni uhai na hilo gurudumu ni lazima tulisukume mpaka ufike unapopataka maana bila hivyo maisha bora itakua hadithi au sio??
Mi mzima namshukuru mungu ,nakutakia kazi njema.
Maoni ya Bblandi
Comment Wall (136 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Amani kwako dada.
2po pa1

nimeupenda sna huo ujumbe hapo juu dada ubarikiwe na siku njema2po pa1
Oke mpenzi nakutakia cku na kazi njema huko uliko.
Enhee lete habari ni vp haka kamtikisiko ka uchumi kanakupa changamoto hebu niambie mwenzangu research zenu zinaoneshaje kwa ss tulio kwenye harakati za kuendelea.
Kazi njema mpendwa be good.
Nipe ripoti, ahahahahaha!
maana kimya kinazidi sasa kulikoni?
wakati mzuri nakutakia dada.
uwe na siku njema
Mi mzima namshukuru mungu ,nakutakia kazi njema.
Karibu
FotoBaraza.Net
JIUNGE
au Ingia Kijijini
Kuhusu
Besdei za Kuzaliwa
Wazaliwao Leo
Hussein athuman Mwinge Gift
Wazaliwao Kesho
Thabit Lema Gift
Mathew Senga Gift
© 2010 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Beji | Report an Issue | Faragha | Terms of Service