FotoBaraza.Net

Maoni ya REBECCA KASUWI

Comment Wall (99 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 8:23pm on Ocktoba 28, 2009, Nic anasema…
Rebecca asante pia!Tupo pamoja, usiku mwema
At 7:23am on Ocktoba 28, 2009, damnan anasema…
asante sana dadangu mpendwa kwa ujmbe wako mzuri. tupo salama twamskuru mungu ela sehemu nyingi zimeathirika na mafuriko na mvua bado yanyesha. have a nice day with lots of love and god bless you
At 1:29pm on Ocktoba 27, 2009, mujydebubyz anasema…
safi hujambo wewe
At 1:01pm on Ocktoba 27, 2009, Nic anasema…
Pamoja Rebecca!Nashukuru kwa kunijulia hali, mi pia mzima - kumekucha majukumu yansonga vema.Siku njema
At 10:33am on Ocktoba 27, 2009, Omari Namanji anasema…
Nimepita kijijini nimeupata ujumbe wako
mimi mzima wa afya njema nakutakia
mchanamwema baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 7:47am on Ocktoba 27, 2009, damnan anasema…
shukran kwa ujumbe wako dada sisi hatujambo hapa mombasa isipokuwa kumenyesha mvua kubwa sana ikaleta mafuriko lakini tuko salama. kuwa na wakati mwema dada bye
At 9:14pm on Ocktoba 26, 2009, Nic anasema…
Reb mambo vipi?Mzima lkn?Nashukuru kwa salam, mi mzima na maisha yanasonga vema. Nawe kuwa na wakati mzuri.Kila la heri
At 3:59pm on Ocktoba 6, 2009, Omari Namanji anasema…
REBECCA
mambo vipi m2wangu nakuo umeshika
daf...kazana na kusoma m2wangu
jioni njema baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 1:26pm on Septemba 14, 2009, Innocent Shayo anasema…
Sabalkher!
At 3:04pm on Septemba 12, 2009, Innocent Shayo anasema…
Habari za Mwanza Dadaangu!
At 2:12am on Septemba 1, 2009, Dismas anasema…

At 7:16pm on Agosti 28, 2009, Mathew Senga anasema…
Ahsante dadangu, huku kwema sijui huko, karibu sana, nilikuwa bush nimerudi!
At 10:24am on Agosti 27, 2009, Innocent Shayo anasema…
Mama, Wasi wa nini we toa order ya kiasi utakacho!
At 6:52pm on Agosti 24, 2009, Dismas anasema…
Duuuh! dada upo? Ucjali wala nini, tupo pamoja dada yangu ila wewe ndo huwa unapotea sana. Mimi nahic shemeji anakuficha sana, mwambie apunguze wivu hahaahhaaahaaaaaaa

Amani kwako dada
2po pa1
At 1:13am on Agosti 23, 2009, komredi anasema…
karibu sana daku dada yangu
At 3:07pm on Agosti 6, 2009, Mama Malaika anasema…
Habari ya siku?
At 8:51am on Agosti 6, 2009, bazil anasema…
Hallo Rebecca
I hope that you are fine Your picture is too small to be seen
Please expand your picture
Bazil
At 2:36am on Agosti 6, 2009, komredi anasema…
salama dada yangu??
At 11:18am on Julai 27, 2009, Mama Malaika anasema…
Rebecca wangu habari za siku tele?
At 1:09am on Julai 26, 2009, komredi anasema…
kwa mara nyingine tena hodi hapa wenyewe nimewakuta
naomba msinichoke maana nimerudi kwa nguvu zote
usijali dada angu tupo pamoja
siku njema

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter