FotoBaraza.Net

Maoni ya Neema Mmanga

Comment Wall (84 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 12:45pm on Novemba 25, 2009, Alfan anasema…
Habari yako mdada!
At 11:42am on Novemba 13, 2009, araway anasema…
natamani hicho kitanda neema!
At 12:15pm on Ocktoba 27, 2009, Omari Namanji anasema…
Mambo vipi mamy mzima wewe
At 1:43pm on Ocktoba 26, 2009, damnan anasema…
thanx baby neema kwa zawadi yako nzuri nzuri kama wewe mwenyewe na allah akubarik mtoto mzuri
At 2:15pm on Ocktoba 25, 2009, eddy anasema…
Hodi..Hodiii @! Humu ndani...Muzima weye?? Nimepitakukusalimu..Jumapili njema mama...
At 7:58am on Ocktoba 25, 2009, Dismas anasema…

At 7:53am on Ocktoba 23, 2009, damnan anasema…
asalam alaikum dada neema. nakutakia ijuma njema yenye kheri na barka wewe na waislam wote iwe ijuma ya kheri barka na upendo amin. JUMA KARIM MUBARAK
At 3:25pm on Ocktoba 16, 2009, Lucie wa mama anasema…
Mambo wangu?
upo kweli?
At 10:46am on Septemba 17, 2009, Michuzi Jr anasema…
weye Binti wa Kimanga hujambo????
At 1:44am on Septemba 9, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Hivi Neema! ni umeisusa fotobaraza au umetususa sisi wadau wa fb! na tatizo ni kitu gani! usifanye hivy mtu wangu! kumbuka fb ni sehemu ya kubadilishana mawazo ya kila aina,even if una stress zako! kwa hapa u will get is required for it! so relax & speak out,remember!!''''''''this is''''''''''''''''REVOLUTION BABY'''''''''''''''''''''''''''''!!!!!!!!!!!!!!!!!!
At 3:28pm on Agosti 11, 2009, Byanaku - Chui Mfalme anasema…
SEMA MMANGA HUJAMBO WEWE NAKUSALIMIA
At 7:22pm on Julai 31, 2009, araway anasema…
ninakukaribisha nema http://fotobaraza.ning.com/group/burdanimbalimbali/forum
At 11:48am on Julai 31, 2009, Lucie wa mama anasema…
Hi ney, mambo vp wangu?
At 5:49am on Julai 28, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Neema! naonana unajigamba kwamba umenikomesha!!! na ulitaka kunitoa kamasi cos najisikia na ninapenda mambo flani,nadhani ur out of ur mind ndugu yangu,please! please! do'nt let me make a bad disition about you! nadhani wanichukulia powa Neema! but ur wrong! very wrong my dear! iam not like what u think! and iam warning you!!!!
At 1:44pm on Julai 27, 2009, Byanaku - Chui Mfalme anasema…
Wee Mmanga hujambo habari za umangani lakini....lol

Tabia yako ya kupiga chabo upunguze utapofuka macho shauri yako muulize PASCAL siku hizi ameacha mwenzio.

Moja moja ndo mtindo mwanzo mwisho
At 12:45pm on Julai 27, 2009, Dismas anasema…
Duuuh! Mwana hadi nilianza kukuogopa, maana yale mjibu yako kwa Osw yalikuwa yanatisha. Ila hakuna noma wala nn. Mimi nipo fresh m2 wangu, vp Osw alikuja pande za huko kwenu. Nipe stori m2 mzima kama ulimtesa kama ulivyo muahidi hahaahaahaahaaaaa

2po pa1 Ney
At 4:05pm on Julai 24, 2009, Jacqueline anasema…
niambie dada ney, 2ko pamoja mama
At 12:49pm on Julai 24, 2009, Dismas anasema…
Amani kwako Ney, unaonekana ni jasiri sana wewe. Ule mziki wako na Osw hauchezeki m2 wangu hahaahahaaaa

2po pa1
At 3:55pm on Julai 21, 2009, Jozzee anasema…
mi nategemea kuja mwakani kipindi cha likizo kuanzia mwezi wa 4 mpaka wa 6 nitakua huko kuna uwezekano wa wewe kuja dar au we una kuwa likizo kipindi gani?

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter