FotoBaraza.Net

Maoni ya Kisusi

Comment Wall (131 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 4:56pm on Desemba 31, 2009, Alfan anasema…
NEW YEAR
At 3:39am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
UPOOOO????
At 2:42pm on Desemba 29, 2009, CHA the Great anasema…
AMani kwako Mkuu

PamoJAh
At 2:39pm on Desemba 29, 2009, Dunda anasema…
KWEMA HAPA HIII
At 8:31am on Desemba 22, 2009, Mama Rayan anasema…
ndugu yangu hali yako nimepita kuvunja ukuta uliotutenganisha mie ok
At 7:23pm on Desemba 10, 2009, Mama Malaika anasema…
Mkwe habari ya siku tele?
At 4:51am on Novemba 24, 2009, Ndekia anasema…
niambie mzazi wangu ishu zinaendaje????? nimeanza kujipendekeza kwenye idd sasa maana sikukuu umezoea kujitafunia peke yako............. msaada kwenye tuta...........
At 3:52pm on Novemba 23, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante kwa salamu. Mkwe mwenzio anafurahi sana kukuona ulivyolikamata tractor... anauliza aje akuunge mkono??
At 9:33pm on Novemba 22, 2009, Dunda anasema…
Dr mbona kimya vipi wagonjwa wamerkuwa wengi nini
haya mkuu nimepita kukusalimia
At 4:37pm on Novemba 17, 2009, Mama Malaika anasema…
Habari yako? Natumai wote muwazima wa afya. Salimia mkwe wangu na mama yake
At 4:11am on Novemba 14, 2009, Sarah anasema…
Nakuona upo kaka haya usiku mwama kwangu na kwako ni asubuhi njema!
At 2:57pm on Novemba 13, 2009, Omari Namanji anasema…
mambo vipi aujambo wewe?
At 4:32pm on Novemba 11, 2009, CHA the Great anasema…
PamoJah
At 12:40am on Novemba 9, 2009, cool anasema…
my kaka mzima lakini?
At 6:42pm on Novemba 4, 2009, NSAJIGWA anasema…
U hali gani ndugu?
At 8:26am on Novemba 3, 2009, Alfan anasema…
Habari ya hapa mkuu?
At 5:10pm on Ocktoba 30, 2009, Mama Malaika anasema…
Karibu kushukuru!
At 2:35pm on Ocktoba 30, 2009, Mama Malaika anasema…
Awesome!! Profile pic yako nzuri sana.
At 1:30pm on Ocktoba 27, 2009, FETTY IBRA. anasema…
Najua hukuwa serious kaka. lakini nimedhamiria kuweka hiyo picha ya shem wako maana naona hata oswald ameihitji kuiona.
At 2:46pm on Ocktoba 26, 2009, FETTY IBRA. anasema…
Salam kwako. Duh Dk. yule sio shem wako ni kaka yangu jr lakini soon utapata ya pamoja na shem wako sawa Dk??. uwe na cku nzuri

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter