Huu wimbo ni kwa wale wadada karuka, wanaokuwa na watoto halafu hawawaonyeshi baba zao,au hata kuwaambia majina ya baba zao. Acha jamaa aongee kwa ukali, maana ni tabia mbaya sana.
Huku kwema kaka yangu ila naona watuumiza roho na hio weather sie huku tumesha give up kua na summer mwaka huu,kubaya mno sweta bado zavaliwa na makoti can you believe it and it's end of July.Enjoy ur weather while it still last maana haiaminiki.
niambie balozi wa kijiji hiki cha fotobaraza vp uko pouwaaaaaaa lakini
mimi nimepita kukujulia hali naelekea mtaa wa pili tutaonana wakati wa kurudi panapo majaaliwa.
nakutakia siku njema#
Bw, Magere ahsante sana kwa baraka zako za wikiendi, zimenifikia.
Huku mwisho wa wiki ni alkhamisi na Ijumaa.
Nakutakia kila la kheri nawe pia huko uliko.
Wiki njema.
Maoni ya Don Magere
Comment Wall (1,147 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Mambo vipi lakini
mimi nimepita kukujulia hali naelekea mtaa wa pili tutaonana wakati wa kurudi panapo majaaliwa.
nakutakia siku njema#
Peace!
Huku mwisho wa wiki ni alkhamisi na Ijumaa.
Nakutakia kila la kheri nawe pia huko uliko.
Wiki njema.
Pamoja kaka
mambo ikoje?sisi wazima amani tuu
haya mimi napita hapa mtaani kwako
nakutakia wiki end njema
Karibu
FotoBaraza.Net
JIUNGE
au Ingia Kijijini
Kuhusu
Besdei za Kuzaliwa
Wazaliwao Leo
Hussein athuman Mwinge Gift
Wazaliwao Kesho
Thabit Lema Gift
Mathew Senga Gift
© 2010 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Beji | Report an Issue | Faragha | Terms of Service