FotoBaraza.Net

Maoni ya CHA the Great

Comment Wall (647 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 7:51pm on Novemba 19, 2009, Mama Malaika anasema…
Nami namfagilia sana tu toka nitie mguu inji hii. LOL....
At 7:34am on Novemba 19, 2009, Mabagala anasema…
Amani iwe kwako pia mkuu CHA
At 6:19am on Novemba 19, 2009, Dismas anasema…
Amani iwe nawe pia m2 mzima, 2po pa1 mwana.

Amani kwako
At 11:30pm on Novemba 18, 2009, Astol Mwangomo anasema…
Amina na wewe ubarikiwe sana
At 10:16pm on Novemba 18, 2009, Dunda anasema…
PAMOJAH KAKA
At 9:00pm on Novemba 18, 2009, Michuzi Jr anasema…
PAMOJAH KAKA
At 10:39am on Novemba 18, 2009, Mm eFrancia anasema…
Poa mi naonekana sasa so mawasiliano kama kwa au vp.

Pamojahhhhhhhhhhhhh.............................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
At 7:45am on Novemba 18, 2009, Dada anasema…
Marhaba mdogo wangu, mzima wewe? Typist hajambo?
PAMOJAH
At 7:32am on Novemba 18, 2009, Mabagala anasema…
Mei mei dei... we are sinking!!! Mkuu PamoJah
At 4:35pm on Novemba 17, 2009, Mama Malaika anasema…
One Love!!
At 3:55pm on Novemba 17, 2009, Michuzi Jr anasema…
Salama Kaka??
At 7:31am on Novemba 17, 2009, Dismas anasema…
Eti mtabili wangu kaniambia nitakuwa hv nikizeeka.

At 11:39am on Novemba 15, 2009, Mama Malaika anasema…
Posuta!! Mie kwenye mjadala wako nitarudi baadaye maana 6wks zilizobakia kumaliza mwaka ni nyingi mno.... ha haa haa
Vipi mambo yanakwendaje pande hiyo??? Sie wazima ila baridi ndio imeanza kwa kasi ya ajabu, natamani nikutumie kidogo ili uchanganyie na joto la Dar lipate kupungua. Ha haaa
Nakutakia Jpili njema
At 1:24pm on Novemba 14, 2009, Dismas anasema…
Ww kijana vp, taa za nn hapa kijijini? Kwangu kuna vibatari tu, km unataka mwanga mkubwa uwe unakuja na karabai yako. Msalimie mkeo, nasikia ni mjamzito. Hv ina miezi mingapi sasa hiyo nanihii yake?

2po pa1
At 10:17am on Novemba 14, 2009, Dada anasema…
Me ipo salama ndugu yangu najiandaa na safari to Mwanza.
PAMOJAH.
At 3:45am on Novemba 14, 2009, cool anasema…
hollaa my kaka
At 2:59pm on Novemba 13, 2009, Omari Namanji anasema…
mani kwako mkuu
At 1:20pm on Novemba 13, 2009, NSAJIGWA anasema…
salama man?
At 12:03pm on Novemba 12, 2009, Furaha anasema…
Hellow, za kwako charles, nasikia kuna pamoja za yellow, vipi mimi sipati?

PAMOJA
At 7:48am on Novemba 11, 2009, Mabagala anasema…
... we are sinking, naona story imekutouch sana ile. hahahaaa. PamoJah Man

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter