FotoBaraza.Net

Maoni ya Mathew Senga

Comment Wall (31 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 4:00pm on Novemba 3, 2009, Byanaku - Chui Mfalme anasema…
kwema hapa...duh ndio mara ya kwanza kufika hapa kwako mkuu......

Naomba niache salamu zangu za kirafiki hapa mkuuu

ONE LOVE
At 3:55pm on Ocktoba 6, 2009, Omari Namanji anasema…
usijali pole na majukumu ndugu
yangu kazinjema na jioni njema poa
baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 3:57am on Septemba 27, 2009, Ndekia anasema…
upo mku wangu habari za kwako?????/
At 8:09am on Agosti 29, 2009, REBECCA KASUWI anasema…
Sawa usijali pole na majukumu asante sana karibu nawe gud day.
At 9:19am on Agosti 24, 2009, REBECCA KASUWI anasema…
habari kaka natembea kukupa hi gud day.
At 7:45pm on Julai 30, 2009, Don Magere anasema…
Mkuu pole sana kwa yalokusibu natumaini umeisha pata nguvu mpya na maisha yanaendelea kama kawaida.
uwe na wakati mzuri.
At 7:13am on Julai 29, 2009, araway anasema…
pole sana mkuu nilikuwa sijapata habari za msiba! pole sana kaka> siye wazima mkuu ila na mimi waliniibia kagari kangu majuzi hapa so nimekatwa miguu. siku njema mkuu
At 5:50pm on Julai 28, 2009, Sarah anasema…
Jamni umeadimika kweli upo wewe
At 2:07pm on Julai 28, 2009, araway anasema…
umeadimika mkuu! habari za mihangaiko mkuu!
At 1:27pm on Julai 8, 2009, Mama Malaika anasema…
Habari ya hapa? Natumai uko mzima
At 3:40pm on Julai 6, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Powa mwana,nitaongea na jamaa,siku nikipata off job tutakupigia.
Tupo pamojah.
At 4:49pm on Julai 5, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Noooo!!! meen! eebwana pole sana,daaa!!! sasa ngugu yangu kwann ukusema tuje kukufariji!!! siku ile nilitegemea tunge onana kwenye msiba wa Young,ila nilipo ona kimya nikadhani umesharudi nje,kumbe mwenzetu upo kenye majozi!!! pole sana mwana,basi kama upo bado tuta jiorganize tuje tukupe pole mkuu.
At 4:29pm on Julai 3, 2009, Don Magere anasema…
Mkuu weekend njema nakutakia na yote yaliyo mema.
At 10:38am on Juni 15, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
mathew! mathew!! wat hapen my brother!!!
At 12:43pm on Juni 4, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Kinyerezi unajenga au!!! msiba wa Young bwana sijajua wanaufanyia wapi,Vadonde bwana ni mshikaji wangu sana,ila only kwa kuchart,dada ana vituko sana,ata mm aliniambia angesafiri,tena kwa kupitia njia ile ile ilikopotelea Airfrance.tupo pamoja kaka.
At 12:32pm on Juni 4, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
okeee mr.meeda napajua sana,nitakucheki mwana,mm bwana nakunywa pombe kali kulipunguza tumbo,kumbe bado unakula kibabu!!! au ww ni teacher kwa sasa,ee bwana ee!!! hv huyu demu Vadonde!!!...upo nje ya nchi kweli au miyeyusho,cos kaandika yupo njombe....vip utaenda kwenye msiba wa young......
At 12:13pm on Juni 4, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Sema Senga,inakuaje mwana!!!! kama vipi jumapili tutafutane basi,mimi nakaa kijitonyama,sijui ww mwenzangu...au masakiii!!!!!!!!!!!!!!! call me on 0784 482828
piciiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 8:21pm on Juni 3, 2009, Sarah anasema…
Mie mzima kabisa bro mbona wapotea jamni?? Pole na majukumu.
At 5:28pm on Mei 24, 2009, Sarah anasema…
habari za usubuhi kaka
At 10:46am on Mei 24, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
waraaaap meeen!!!! ar u yet in dar!! or u dicided to cancel,by the way..how ar u doing up there.cool.

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter