FotoBaraza.Net

Maoni ya Furaha

Comment Wall (232 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 11:33am on Novemba 13, 2009, Michuzi Jr anasema…
Habari ni nzuri sana kwa upande wangu Dada yangu hofu na mashaka tele ni juu yako tu ulie mbali na upeo wa macho yangu haya mawili.

vipi mzima wewe lakini na masomo yanakwendaje huko mtu wangu??

PamoJah sana Dada
At 4:59pm on Novemba 12, 2009, CHA the Great anasema…
PamoJah rangi ya yellow inapatikana dada.

Nikutumie lini dada yangu?
At 9:55am on Novemba 12, 2009, Ndekia anasema…
nipo mydia ni kazi tu zimenibana but tupo pamoja wala usikonde mwayaaaaaaa....
At 7:33pm on Novemba 8, 2009, Sarah anasema…
Mambo mrembo wetu!
At 3:38pm on Novemba 3, 2009, CHA the Great anasema…
PamoJah
At 11:40am on Novemba 3, 2009, Alfan anasema…
Mambo? kwema hapa?
At 8:17am on Novemba 3, 2009, Michuzi Jr anasema…

At 7:53pm on Novemba 2, 2009, Michuzi Jr anasema…
Mambo vipi mtu wangu?

Mimi niko poa sana Dada sijui wewe tu huko A-Town,vipi mko poa??
At 6:50pm on Novemba 2, 2009, CHA the Great anasema…
PamoJah
At 9:01pm on Novemba 1, 2009, eddy anasema…
Hahaha..Naona leo ndio mlikuwa na outing basi ukawa full online.. Mi mzima kabisa sema tu sasahivi huku hakukaliki hilo baridi lake nahisi kuganda damu.. Kitabu tight yaani chamoto hadi kimepitiliza.. Wape hi wote najua tutawasiliana tena mwisho wa mwezi... Kitabu chema siz...// Micn u tooo
At 8:09pm on Novemba 1, 2009, CHA the Great anasema…
PamoJah
At 1:34pm on Novemba 1, 2009, Don Magere anasema…
Mie mzima kabisa Furaha na nimefuahi kupata salaamu zako.
Vipi shule inaendeleaje?
Nami nakitakia kila la heri katika masomo yako.
At 11:20pm on Ocktoba 30, 2009, Astol Mwangomo anasema…
Ka dada UpOOOooo?
Basi uwe na wakati mzuri sana Weekend
At 4:27pm on Ocktoba 30, 2009, Mama Malaika anasema…
Furaha wangu nimekukumbuka mno. Habari ya Arusha? Sie wazima ila kazi ndio zimekamata..
At 3:34pm on Ocktoba 28, 2009, Omari Namanji anasema…
Nimepita kijijini nimeona siovyema
kuondoka bila kuku julia hali je?
mzima wewe mimi wa afya njema
nakutakia jioni njema
baiiiiiiiiiiiiiiiii
At 9:59pm on Ocktoba 24, 2009, eddy anasema…
hey hey hey..We mudada upo kwelii au skuli ndio inasababisha yote hayo?? Mmmh!!!Poa basi..mi nimepita kukupa hi nimeona jii sana...Kitabu chema..
At 7:29pm on Ocktoba 24, 2009, cherry anasema…
Mamii hujambo???ni muda umepita lkn natumai umzima sana.
At 3:03pm on Ocktoba 21, 2009, CHA the Great anasema…
Nimependa hiyo lyrics ya Lucky Dube

PamoJah
At 10:13am on Ocktoba 21, 2009, Omari Namanji anasema…
Nambie mtoto mzuri mzima wewe
mimi mzima wa afya njema
natumain tupo pamojah
nakutakia asubui njema
baiiiiiiiiiiiiiiiii
At 7:26pm on Ocktoba 18, 2009, Waridipolejeusi anasema…
Dada Furaha Marahabaaaaa! hujambo wewe? ..ahsante sana kwa kunipitia, habari za masiku tele, salama?
Nakutakia kila la kheri na ahsante kwa kunijulia hali.
Stay blessed!

Besdei za Kuzaliwa

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter