we jua 2 ndo namba yangu. pole kwa mcba wa kaka yako coz angeishi tena kidogo ningekua shemeji yako......................... bt i hop uko poa!!!!!!!!!!!!
Safi sana Oswald kwa mchango wako kwenye ile ishu na mawowowo na mahips. Mi nilijua tu, Fataki kama wewe lazima utakuwa unajua mengi kuhusu ile ishu hahaahaahaaaa. Hvi toka umeanza kuwafuatilia mabinti wa hapa kijijini, umefanikisha kuwapata wangapi? nipe orodha mkuu, nahic hadi sasa bado huja win hahaahahaaaa
hahahaha Oswald umenichekesha anaitwa Faiza mtoto wangu, jamani mwacheni asome kwanza staki mahari ya mtu na isitoshwe nimefuga mijibwa sita, kaeni chonjo
Hahahaahaaaaa! mjinga noma wewe. Unafaa kuwa paparazi m2 wangu, kumbe umeshastukia ishu ya mtoto wa Candy? Ila hamna noma, yule ninamngojea akue halafu ndo ishu nyingine zitafuata.
Hahahaahaaaa! Fataki ni jibaba linalopenda mabinti wadogo, na Mataki ni jimama lipendalo vijamaa vidogo. Mfano mzuri wa Fataki ni wewe hahahaahaahaaaa, na mfano mzuri wa Mataki ni .......................
Maoni ya Oswald Jonh Akyoo
Comment Wall (988 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
kwema lkn?
namtuma mesenja wetu akuletee.ila ipo kidooooooogo sana.
2po pa1 mkuu
we sema lini unanunua wine nikuletee keki ule vizuri.
have a nice day.
2po pa1 mwana
Amani kwako mkuu
Karibu
FotoBaraza.Net
JIUNGE
au Ingia Kijijini
Kuhusu
Besdei za Kuzaliwa
Wazaliwao Leo
Hussein athuman Mwinge Gift
Wazaliwao Kesho
Thabit Lema Gift
Mathew Senga Gift
© 2010 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Beji | Report an Issue | Faragha | Terms of Service