At 3:48pm on Novemba 20, 2009, Mama Malaika anasema…
Mzee wa magimbi vipi msimu tayari tuje kula?? Sijui viazi navyo vipo maana navipenda sana sana.
Ijumaa yasemaje pande yako? Hapa ni mvua kwa sana na mafuriko ya kuua watu
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
Mwana tupo pa1. Cku ile nilikuwa naumwa mkuu, hadi sasa cpo fresh sana ila nilipania sana kuja. Mimi nahic Oswd aliniroga, ili totoz zote azimiliki yeye hahahahaaaaaaa.
Maoni ya Araway
Comment Wall (602 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Ijumaa yasemaje pande yako? Hapa ni mvua kwa sana na mafuriko ya kuua watu
kwema lakini
nakupa hi kaka, wasalimie huko mji kasoro bahari.
Msalimie sana, halafu fanya mipango fasta usije ukaporwa na fataki
Amani kwako mkuu
nimekutumia yale maua uyapendayo,lol we nawe una presha.
Amani kwako mkuu
2po pa1
Karibu
FotoBaraza.Net
JIUNGE
au Ingia Kijijini
Kuhusu
Besdei za Kuzaliwa
Wazaliwao Leo
Hamisi Abdulrahmani Give a Gift
Azania Bitoz Give a Gift
AzaniaBitoz Give a Gift
© 2009 Created by Babukadja on Ning. Create a Ning Network!
Beji | Report an Issue | Faragha | Terms of Service