Imewekwa na Babukadja kwenye Januari 8, 2010 saa 10:45am —
Hakuna Maoni

Leo ni sikukuu ya Noeli (Krismasi) huko Ethiopia na kwa wafuasi wote wa
kalenda ya Juliani. Wafuasi wa kalenda hii tunasherehekea kuzaliwa Masiha katika tarehe hii ya 7 Januari. Heri ya Krismasi :-)
Hapa Ethiopia siku hii inaitw…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Januari 7, 2010 saa 10:09am —
Comments

Uwanja maarufu uliotumika kwa michezo ya Olimpiki za mwaka 2008 huko Uchina, maarufu kama Bird's Nest, umegeuka kuwa kivutio kikubwa sana kwa wapenzi wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu. Wakati sehemu zingine duniani watu wamemkasirikia Mungu kwa kuwaletea barafu lukuki, Uchina wanapiga hela.
Nadhani tung…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Januari 6, 2010 saa 2:37pm —
Comments

Mkali wa muziki wa kufoka-foka, Jay-Z wa Marekani, ametuma maombi kwa mshkaji wake Robbie Williams, ambaye anatarajia kuingia katika kifungo cha ndoa na mpenzi wake wa miaka mitatu, Ayda Field, ya kuandaa shughuli hiyo inayotegemea kuwa ya kukata na mkasi. Jay-Z anasema ana kila sababu ya kukubaliwa 'kukamu…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Januari 5, 2010 saa 3:30pm —
Comment

Maelefu ya watani zetu wa jadi (Wakenya) wameijikuta wakilazimika kuchapa lapa (kutembea kwa miguu) kufuatia mgomo wa magari ya abiria, almaarufu huko kama matatu. Kwa wale walioona udhia kuchapa lapa waliamua kiujikalia tu nyumbani.
Inasemekana mgomo huo unaendesha na wahudumu wa magari hayo ambao wamedai aska…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Januari 4, 2010 saa 8:07pm —
Comment

Ofisi ya rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma, imewapiga mkwala waandishi wa habari kutosogeza kabisa pua zao karibu na mnuso wa harusi la rais Zuma linalofanyika leo.
Ofisi ya rais imewatahadharisha waandishi wa habari kwamba, shughuli hii ni ya kifamilia zaidi ya udaku wa kidunia. Zuma anafunga ndoa leo na a…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Januari 4, 2010 saa 8:04pm —
Hakuna Maoni

Kuanzia majira ya kama saa sita kasoro hivi mchana huu hapa Jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mtikisiko mkubwa unaoambatana na mlipuko mikubwa pia unaoendelea kutetemesha nyumba. Haijaeleweka bado kwa uhakika kuwa ni nini hasa kinaendelea. Baadhi ya watu wanasema kuwa ni tetemeko la…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Aprili 29, 2009 saa 1:48pm —
Hakuna Maoni

TED ndio wale walioleta wanablogu 100 kwenye mkutano wa Africa: The Next Chapter pale Arusha mwaka juzi. Kama una sifa wanazozitaka, unaweza kutuma maombi ya programu yao mpya iitwayo “The TED Fellows Program”:
"The TED Fellows program is designed to bring together young world-changers an…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Machi 15, 2009 saa 10:30am —
Hakuna Maoni

Cheki mwanamke mwingine atakayefanya "balaa" lingine katika uadhimishaji wa siku yao kwa kubpfya
HAPA. Hongereni wanawake!
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Machi 9, 2009 saa 8:12am —
Hakuna Maoni
Imewekwa na Babukadja kwenye Machi 5, 2009 saa 3:19pm —
Hakuna Maoni

The What is crime? photography competition invites entries which challenge and confront thinking on what is harmful, unjust or criminal under one of the three categories of violence, environment and finance.…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Machi 4, 2009 saa 4:02pm —
Hakuna Maoni

Wazalendo,
Welcome at
TPN DINNER PARTY on 28th February at Mwanzo Park Lodges. Mwanzo which means beginning, strikes the perfect balance between NATURE and NURTURE. It is also an ideal place to kick back and unwind.
This is a luxury lodge, heaven that exceeds your expectatio…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 27, 2009 saa 2:23pm —
Hakuna Maoni

Lyumba ni mcheshi sana. Amatus Lyumba baada ya kuwarusha roho wadau kwa siku kadhaa hatimae alirejea jana kwenye mahakama ya hakimu mkazi wa Kisutu, ambako alipewa dhamana na kisha kutoweka siku shauri lake lilipokuwa linasikilizwa hapo awali. Lyumba anashtakiwa kwa kuisagisha soli…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 26, 2009 saa 6:16am —
Hakuna Maoni

Niliwahi kumwambia CHA kwamba sitaweza kupigia debe fulana zake hadi niweke moja mwilini na kuangalia kama itafaulu vipimo vya TBS. Kaniletea moja juzi, nimenyuka jana kwa majaribio, kitu kimetulia mwilini. Mwanakijiji nakuomba uwasiliane na CHA ili akupe kopi yako fasta. Nimefurahi kwamb…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 25, 2009 saa 6:16am —
Hakuna Maoni

Usiku wa leo hapa ukumbi wa Ngome Kongwe, Kisiwani Zanzibar hapakutosha hata kidogo. Yani ilikuwa ukiinua mguu tu mwenzako kaweka, unabaki umesimamia mguu mmoja. Bi. Kidude amehamishia wakazi wote katika ukumbi huu usiku wa leo. Mtazame akiporomosha mashairi kwa…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 17, 2009 saa 8:54am —
Comment

Samahani sana wadau kwa kuwa mkwasi kidogo wa kijibu jumbe zenu kwa wakati. Niko Visiwa vya Karafuu nafatilia tamasha la muziki la Sauti za Busara. Mtandao hapa ni mushkeri kidogo, watumiaji ni wengi, tarakilishi/kompyuta za kusubiriana, wameweka mtandao usio-waya (wireless) lakini u…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 15, 2009 saa 10:00am —
Hakuna Maoni

Alma akiwa na Shemeji yetu,anaefahamika kwa jina la Ichu,Ichu alijumuika nasi katika pati la kijiji la kukaribisha mwaka 2009 na baada ya kuona nini kinachofanyika ndani ya kijiji,shemeji ilibidi ajiunge pamoja nasi katika kijiji.hebu gonga…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 11, 2009 saa 8:07pm —
Hakuna Maoni

Msemaji wa kijiji, mkurugenzi Maingu alikuwa akijumuika na wenzie salama salmini kabisa, mara DJ akabadili mwelekeo wa mirindimo na kuanza kugonga bolingo, hatukuweza kumkamata tena bwana Maingu. Tunashukuru sana mkuu Maingu kwa kutuendeshea shughuli yetu salama salmini kabisa.
Twam…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 9, 2009 saa 1:07pm —
Comments

Wadau wakishuhudia dada Alma na mdau Luihamu wakiibanjua keki ya mwaka. Eti kuizingira kote huku ni kuhakikisha hakuna kipande kinachoanguka chingi, kila mmoja yuko mkao wa kudaka chochote hapa. Cheki keki letu kwa karibu kwa…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 9, 2009 saa 7:49am —
Comment

Nimeamka leo asubuhi na kukuta sanduku langu la barua pepe likiwa limejaa barua za malalamiko kuhusu jamaa zetu fulani kuiba picha zetu hapa na kuzitundika kwenye blogu yao fulani. Hii ni moja ya picha ambayo inasemekana imekutwa huko, ni picha ya dada yangu na mdau wangu mpenzi. U…
Continue
Imewekwa na Babukadja kwenye Februari 5, 2009 saa 9:23pm —
Comment