At 7:47pm on Novemba 11, 2009, Mama Malaika anasema…
Mie hivi sasa niko kuingalandi (Britain) ndugu yangu... wewe unatokea Kyela? Maana kuna kina Mwamlima nawafahamu wa kutoka huko.... Nilikuwa Mbeya mwezi June for holiday tukafika hadi Karonga.
Vipi joto hapo Mbeya? Nakutakia usiku mwema...
At 5:22pm on Novemba 11, 2009, Mama Malaika anasema…
Ughonile!!!
At 5:22pm on Novemba 11, 2009, Mama Malaika anasema…
HAPPY BIRTHDAY!!!
At 11:58am on Novemba 11, 2009, Omari Namanji anasema…
mambo vipi williad mzima
wewe mimi wa afya njema nakutakia
sikunjema baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Comment Wall (5 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Vipi joto hapo Mbeya? Nakutakia usiku mwema...
wewe mimi wa afya njema nakutakia
sikunjema baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii