chakula cha kikikuyu hapa Kenya,mahindi masafi yachemshwe kwa nusu saa,alafu maharagwe masafi yangezwe kwenye sufuria ili yo mekoni.mahindi na maharagwe yaendelee kuchemka kwa mda wa masaa mawili,kisha yaanguliwe.yachonge majungu yako kwa kuyaambua…
Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula.
mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza
kuupika ktk aina 50 za mapishi.
Ndugu zangu kutoka Bongo,mwasahau kua kuna Wakenya katika kijiji na mnapotaja maeneo ya huko kwenyu hasa vitongoji,ni kama misamiati kwetu.kuongezea zaidi wengine sis wanafunzi.Naomba muyazingatie hayo.
At 11:33am on Ocktoba 8, 2009, Mtoto mzuri anasema…
haya mkeiiiiiiiiiiiiiii karibu eeee smahani kwa kuchelewa kukujibu leta habarii za hukoo loooooooooooo naona unataka pati isogezwe mbele utie timu itakuwa vizuri sana mchana mwemaaaaaa