NIMEONA HII COMMENT KWENYE BLOG YA MICHUZI.MIMI BINAFSI NAPINGA SANA WANAWAKE/WANAUME WANAOJICHUBUA NASIKIA KINYAA SANA ILA HUU USTARAABU ALIYO TUMI HUYO MTU ALIYEWEKA COMMENT KWA MICHUZI SI SAWA MIMI NAONA AMETUMIA UBAVU NA SIO HAKI KWA KWA WATU ALIYOWATAJA MAJINA YAO PILI NASHAURI WATU WENYE BLOG JARIBUNI KUCHAMBUA NINI CHA KUWEKA HEWANI MAANA HII COMMENT INAWEZA KUMWARIBIA MTU MAISHA MFANO KUPATA KAZI AU HATA KUPATA MCHUMBA KWASABABU YA KUMWITA MWENZIO ALIKUWA MJINGA SHULENI.nimeambatanisha hiyo comment hapo chini:-
bwana ukweli umwagwe hapa na michuzi usituminyie hii. WANAWAKE WETU BONGO NOMA SANA, HII TABIA YA KUJICHUBUA NA MANYWELE BANDIYA. AAAAH! NI KICHEFUCHEFU NILISOMA NA WASICHANA WAREMBO LILIAN MTEI, LILIAN MZIRAY, NA MARY KWEKA Makumira, walikuwa beautiful girls na rangi zao black-brownish. LAHAULAAAH! wote wapo Dar sasa hivi ni WEUPEEEEE, napenda niseme kuwa sikuvutiwa kwani nasema kutoka moyoni WALIKUWA MORE BEAUTIFUL NA RANGI ZAO ZA NGOZI HALISI ALIYOWAPA MOLA. na manywele bandiya atleast MARY KWEKA mola kamjalia kwa unywele yeye ana nywele ndefu, ila acha kujichubua. na wote hawa walikuwa wanajipenda sana na warembo. Ila akili darasani kusema kweli walikuwa KAPUTI. Hakuna kitu. MICHUZI USITUMINYIE HII COMMENT. WAJUE JAMANI WATAPENDWA ZAIDI WAKIWA NA RANGI ZAO. WAACHE KUJICHUBUA. Ona mwenyewe maoni ya wadau wako hapa juu, ni kweli kabisa pichani huyu dada, uso rangi nyingine, ona mikono yake alivyo pose kuonyesha tangazo. noma sana. ingekuwa bora hizo cream zingefanya kazi katika sehemu zote za mwili basi,
Comment Wall (1 comment)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu