FotoBaraza.Net

Ukurasa wa ringomoses

Gifts Received

Gift

ringomoses has not received any gifts yet

Give ringomoses a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Mei 16, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Daslam
Umri
27
Mahusiano:
In a Relationship
Jinsia
Male

Comment Wall (7 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 12:11am on Mei 10, 2008, ringomoses anasema…
Prob..August ntarudi hospitalini niwatumikie waTZ...in the mean time nawatumikia kupitia prnit media..huwa naandika articles na Majira Jumapili....Tatizo hii fani yetu hapa nyumbani imekaa kiwito sana,hailipi kivile kwa junior doctor ka mimi...afu mtoto mwenyewe nimezaliwa kwenye kizazi cha dot com...kukaa kwenye waiting list ya kutoka naona usiku...anyways,i know one day ntakua naenjoy kutibu kama nilivokuwa nikifancy kabla ya kuanza training..tchao! Thank God It's Friday!
At 7:57pm on Mei 7, 2008, Babukadja anasema…
Kaka hata mimi nimesikia ukinyata, mambo yako poa kaka ni mishemishe zinakuwa nyingi tu. Sasa lini unaanza kutibu aisee, mi nataka niumwe bwana, ahahahahahahah!
At 8:55am on Mei 3, 2008, Babukadja anasema…
Kaka nakwambia kijiji kinakuwa kama fangus. Nashukuru Mungu watu wamekiunga mkono. Wakati naanzisha sikufikiri kuwa watu wangekuwa na mwamko wa kukijenga kijiji kwa ari namna hii.
At 2:51pm on Mei 2, 2008, ringomoses anasema…
Thanx..by the way was busy visitin ya web..good initiative
At 2:24pm on Mei 2, 2008, tullah anasema…
we jumuika tu hapa wazushi wengi akina babukadja and co!!
At 8:06am on Aprili 30, 2008, Babukadja anasema…
Kaka nimekuona toka juzi ila niko full mishemishe basi hata kukusabahi ikawa juu kwa juu. Karibu kaka, vipi familia? Ushaanza kututibu?
At 8:51pm on Aprili 29, 2008, tullah anasema…
mgeni karibu si unajua tena kukumgeni hakosi kamba mguuni,ndo hapa ukifika tu tunakuona tulobobea hapa!!nakutania.
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter