FotoBaraza.Net

Prezzo
  • Hamburg
  • Germany
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Prezzo

Makundi ya Prezzo

 

Ukurasa wa Prezzo

Gifts Received

Gift

Prezzo has not received any gifts yet

Give Prezzo a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

masaa 10 yaliyopita
cherry left a comment for Prezzo
Desemba 31, 2009
kulikoni? mmeona nyoka??
Julai 30, 2009
Ho LaLa!!!!
Julai 30, 2009
mi sina mengi hapa,yangu macho tu
Julai 30, 2009
ho lala!!!
Julai 30, 2009
duh!! mbona binti yetu anakuwa haraka sana,last time alikuwa bado mdogo,saivi anakaribia kukufikia kwa urefu
Julai 30, 2009
swaafi sana
Julai 21, 2009

Wasifu Wangu

Mahusiano:
Single

Picha za Prezzo

Inapandisha...

Comment Wall (188 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 3:52am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
PAMOJA UMEPOTEA
At 9:41am on Novemba 20, 2009, Dixon anasema…
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 11:14am on Ocktoba 5, 2009, Mtoto mzuri anasema…
umeadimika umekuwa matawi ya juu
At 7:28am on Ocktoba 5, 2009, Ritha T anasema…
mi nipo, yani nilishalia weee na machozi yakakauka si unakumbuka ni kwa nn?lol
ulihadimika sana nikajua labda umeliwa na papa.nimefurahi kukuona tena.
At 3:03pm on Ocktoba 2, 2009, CHIBIRITI anasema…
Hongera yako sana, Bongo tena... we sikuwezi. Mimi nategemea kuja mitaa ya hapo kwako tarehe 02/11 utakuwepo?
At 4:33pm on Ocktoba 1, 2009, CHIBIRITI anasema…
Mkuu upo? Kimya sana ndugu yangu vipi?
At 3:27pm on Ocktoba 1, 2009, Mama Malaika anasema…
Salama ndani humu? Asante kwa msge... na ile kuhusu nyumba ni ndefu kama gazeti nitaisoma nikipata muda. LOL......
Nikiwa tayari mzigo nitakwambia. Vipi kibaridi hakijaanza ku-beep Hamburg?
At 10:42am on Septemba 19, 2009, Mama Malaika anasema…
hata leo ni sawa... ila kesho nitakuwepo home kuanzia 4pm. Habari ya siku tele? Asante sana kunikumbuka... vimeo vinanizungusha akili
At 9:40pm on Septemba 9, 2009, Sarah anasema…
hivi upo
At 3:16am on Septemba 2, 2009, Sarah anasema…
Mh we bongo ushaopoa nini haha haha safi sana niletee Redds tu maana nikifikiria mpk mwakani naona mbali haha hah
haha we karibu usikilize lile song ila usiangalie pic haha au sio?? siku njema na mic wewe balaa
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter