Mambo vipi Chaoga! eeee bwana tumepanga kuja kukutembelea home kwa w! end hii,nitakuwa mimi,Dismas na Alfan!! hivi ulisema unakaa na sista siyo!! hahahahahah!! mmetoka pina sana
Ufataki umekushinda, Ubedui naona na wenyewe haukufai maana si bedui kiivyo, sasa JOKA LA MDIMU ndio saizi yako, maana wewe ni mkali kwa ndimu tamu wakati hata huzili, wewe kazi yako kulinda tu. tutakurushia mawe hadi udondoke chini na kukimbia sisi tujilie ndimu bila shida! Kazi kwako huko jijini, chakarika kidume mkono uende kinywani, ohooo, maliasili unazitolea macho tu halafu unaanza kulalamika lalamika
Hahahahahahaaaaa nani kakwambia hizo ishu. Hata sasa napenda kuendelea kuvaa katambuga na kufuga nywele ila ofcn wananimaindi. Ila hizo katambuga nazivaa hadi sasa nikiwa home, na hiyo c sababu ya mimi kuogopa kuonana na wadau.Naweza nikaja nikiwa nimevaa makatambuga kwa raha zangu. No one can judge me except God .....hako ni kamcctizo hahahahaaaaaa. Kaka cc wengine usmart ulitupita kushoto, huwa napata tabu sana ninapoambiwa lazima nichomekee ninapokuwa kazini hahahaaaaaa.