FotoBaraza.Net

Oswald Jonh Akyoo
  • -kiume
  • Dar es salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 

Marafiki wa Oswald Jonh Akyoo

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya Oswald Jonh Akyoo

 

IT'S POWER OF THE TONGUE NOT MAGIC CHARMS THAT CAPTURES HEARTS!!!!!!

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

masaa 11 yaliyopita
Jr siku hizi uanauza sura! ila umetoka pasnaa ile mbaya! hiyo na ww ni project yako au ni ya yule yule mjamaika wetu!! i mean Cha!!! PLEASE!!!!!!!
masaa 13 yaliyopita
masaa 13 yaliyopita
yesterday
Hilo jamaa ni noma balaa hahahaaaaaa
yesterday
We Araway mbona unaangalia sana hapo chini ya hiyo chain ya huyo dada? hahahaaaaaa
yesterday
Hahahaaaaa Araway naona ullikuwa huchezi mbali na huyo mtoto
yesterday
Hahahhaahaaaa kaka acha kujitetea, wewe endelea kushika shika shingo tu hahaahahahaaa
yesterday
Hataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaari!
yesterday
Hiyo haikuwa Tanganyika Jeck ilikuwa ni TWENDE UKANIPE CHANGU.hahahahahahahaha@paschal its may be a chatne hahahahahahah
yesterday
ha ha haaa nilichoka sana siku hiyo nilitokea moja kwa moja kwenye kuzima moto nikaenda kikaoni !!
yesterday
Mama!! mabgala hapa alikuwa ajiwezi kabisa! kuna muda nikamuuliza ww uanitwa nani!! akawa anabonga kilugha tu!!
on Saturday
Mama, kijana si mchezo! alikuwa anaimbisha kwaya sauti ya pili!! wee acha tu!
on Saturday
Hayo macho... mkojo wa simba nini ulikuzingua??
on Friday
kaka huyu mdada alikukwida nini naona kama kakupiga tanganyika jeki kwa mbaali!
on Friday
nilikuwa nampooza mtoto kapaliwa! mh oh hapana nilikuwa nauo mbu kwa mgongo wa mwana
on Friday

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar es salaam
Umri
30
Kazi Unayofanya
Business
Namba ya Simu ya Haraka
255 0784 482828
Tovuti Yako:
http://oswald.akyoo@yahoo.com
Anuani ya Barua Pepe
oswald.akyoo@yahoo.com
Mahusiano:
Single
Jinsia
-kiume

\LOVE GAME

Picha za Oswald Jonh Akyoo

Inapandisha...

Comment Wall (934 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 4:56pm on Novemba 29, 2009, CHA the Great anasema…
Salama?
At 9:34pm on Novemba 28, 2009, farid mayanja battenga anasema…
ndugu mbona kimya?mimi nashangaa
At 2:35pm on Novemba 28, 2009, clara anasema…
whats up king without crown have a nice wekend hahahah
At 11:53am on Novemba 27, 2009, araway anasema…
kaka ulizificha wapi hizi!?
At 1:40pm on Novemba 26, 2009, Dunda anasema…
Kwema kaka siku nyingi sijakuona
At 9:50am on Novemba 26, 2009, Pendo anasema…
Mambo sf ndg yangu, namshukuru Mungu naendelea vzr na kazi na maisha kwa ujumla, vp ww?
At 7:44am on Novemba 26, 2009, Mabagala anasema…
Ufataki umekushinda, Ubedui naona na wenyewe haukufai maana si bedui kiivyo, sasa JOKA LA MDIMU ndio saizi yako, maana wewe ni mkali kwa ndimu tamu wakati hata huzili, wewe kazi yako kulinda tu. tutakurushia mawe hadi udondoke chini na kukimbia sisi tujilie ndimu bila shida! Kazi kwako huko jijini, chakarika kidume mkono uende kinywani, ohooo, maliasili unazitolea macho tu halafu unaanza kulalamika lalamika
At 7:00am on Novemba 26, 2009, Dismas anasema…
Hahahahahahaaaaa nani kakwambia hizo ishu. Hata sasa napenda kuendelea kuvaa katambuga na kufuga nywele ila ofcn wananimaindi. Ila hizo katambuga nazivaa hadi sasa nikiwa home, na hiyo c sababu ya mimi kuogopa kuonana na wadau.Naweza nikaja nikiwa nimevaa makatambuga kwa raha zangu. No one can judge me except God .....hako ni kamcctizo hahahahaaaaaa. Kaka cc wengine usmart ulitupita kushoto, huwa napata tabu sana ninapoambiwa lazima nichomekee ninapokuwa kazini hahahaaaaaa.

Amani kwako m2 mzima
2po pa1
At 1:53am on Novemba 26, 2009, clara anasema…
jamani honey nikupendeje kila kitu huko kimya sasa nikufanyaje? angalia vzr km mimi ni mbaya
At 3:44pm on Novemba 24, 2009, beatriz anasema…
hey.............upo???????????
 
 

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this Ning Network.

Besdei za Kuzaliwa

Hakuna Besdei ya Kuzaliwa leo

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter