Mbuzi katoliki ndo yenyewe mkuu, naona shavu hilo. Huwezi pata shavu kama lako mkuu kama unashindia bamia, ahahahahahah! Wanasema mwili haujengwi kwa matofali na hali ikiwa mbaya sana kama unaitwa Juma badili identity tu na kujiita Jimmy fasta ile ukamate yale mambo yetu.