FotoBaraza.Net

Michuzi Jr
  • -kiume
  • bongo town a.k.a taifa stazz
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Michuzi Jr

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya Michuzi Jr

Mtaa Kwa Mtaa

Loading feed

 

KUANZIA LEO MIMI NA USHABIKI WA MPIRA WA MIGUU BASII!! NI BORA TU NIKAWE SHABIKI WA NETBOLI MAANA NITAPATA NA FAIDA KULIKO HUU WA MIGUU

FotoBaraza Team


CHAMA LANGU LA UKWELII



Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

yesterday
yesterday
kumbe wewe Mtoto Mzuri siku nyingine akili zako huwana na akili sana eehh??yaani umejibu vizuri sana tena saana.hebu ntafute nikupe zawadi yako ya mwaka mpya.
on Wednesday
on Tuesday
on Tuesday
Duh!! IL-YA maneno yamebaki kweli??au ndio umemaliza yoote hapa??
on Monday
huo mkwara tuuuuu,hapo hamna lolote
on Monday
kama kawa,kaza buti babake wafike 150
on Monday

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar Es Salaam,Taifa Stars
Umri
kama baba
Kazi Unayofanya
Afande Kolokoloni
Namba ya Simu ya Haraka
+255 713 775 869,haizimwagwi masaa 24 hawazi
Tovuti Yako:
http://othmanmichuzi.blogspot.com
Anuani ya Barua Pepe
jamiothman@gmail.com,michuzijr187@fotobaraza.ning.com
Mahusiano:
Single
Jinsia
-kiume

Picha za Michuzi Jr

Inapandisha...

Michuzi Jr's Blog

Michuzi Jr

Dada Astol Mwangomo,Mwanaharakati Anaepigania Elimu Ya Bongo Ifike Mbali.Wadau Tumpige Tafu Katika Hili


Dada Astol akiwa bega kwa bega na Mafundi kuhakikisha madawati yote yanatengenezwa.


siku ya kukabidhi madawati 33 yaliyot… Continue

Posted on Ocktoba 9, 2009 at 8:00am — 2 Comments

Michuzi Jr

Kongamano Maalumu la Kitaifa kwa ajili ya Wanablogu Tanzania!!



Je wewe ni mwanablogu (Blogger) au mdau wa habari na mawasiliano kwa umma kwa kutumia mtandao? Kama jibu ni ndio, tafadhali unaombwa kujiorodhesha kwa ajili ya maandalizi ya Kongamano Maalumu la Kitaifa kwa ajili Wanablogu (Bloggers) na wadau wa habari na mawasiliano wa Tanzania (Ta… Continue

Posted on Agosti 14, 2009 at 7:24pm —

Michuzi Jr

Mambo Ya Pati La Kukaribisha Mwaka 2009 Hayooooooooo!!!!


Zee Kekizz



Mwenyekiti na Mama Mwenyekiti… Continue

Posted on Februari 10, 2009 at 1:00pm — 1 Comment

Comment Wall (1,179 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 12:54pm on Januari 7, 2010, Lucie wa mama anasema…
ni aje? mic u
At 10:46pm on Januari 6, 2010, Mama Malaika anasema…
Salama hapa lakini? Naona bwana mdogo aliyetoa comment hapo chini dawa yake iko jikoni atapatiwa na Denzil.. ha haa haa
At 11:31am on Januari 4, 2010, Dunda anasema…
Oya we ndugu mbona umepotea sana uko njii au ushakwenda unyanyembe kwa wazazi wa lile lijimama linalo kwambia uwoshe vyombo,lakini usijali sana kwani kamati ya uwokozi itafika dakika chake kuja kukuokoa ikongozwa na mkuu chaoga
Hhahaha mambo vipi lakini lete habari
At 9:12pm on Januari 3, 2010, Astol Mwangomo anasema…
Vipi .kwema huko?
heri ya mwaka mpya.
At 2:25pm on Januari 2, 2010, Mama Rayan anasema…
jr hujambo
At 7:34pm on Desemba 31, 2009, Dismas anasema…

At 4:09pm on Desemba 31, 2009, Alfan anasema…
NEW YEAR
Add Glitter to Pictures

At 1:33pm on Desemba 31, 2009, eddy anasema…
Michu kaka nakutakia Heri ya mwaka mpya 2010 .. mwaka huu uwe natabasamu kila siku hadi ukilala unakuwa unatabasamu tuu...
At 2:38am on Desemba 31, 2009, cool anasema…

At 1:58am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter