FotoBaraza.Net

lukundo
  • -kike
  • dar es salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter
  • Blog Posts
  • Mijadala
  • Makundi (1)
  • Picha
  • Photo Albums

Marafiki wa Lukundo

Makundi ya lukundo

 

Ukurasa wa lukundo

Gifts Received

Gift

lukundo has not received any gifts yet

Give lukundo a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Mei 16, 2009

Wasifu Wangu

Mahusiano:
Single

Comment Wall (18 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 1:27pm on Aprili 22, 2008, CHIBIRITI anasema…
Kweli mpo kimya sana wewe na Emmy, mimi namfananisha Emmy sijui ndio huyo ninae mfahamu? Sasa sipati mawasiliano nae ningemwuliza.
At 12:39pm on Aprili 22, 2008, lukundo anasema…
yani babu mambo mengi huku we acha tu na kama ujuavyo wakati wa mvua samaki huwa adimu yani huwa wanakimbiliaga chini ziwani,so tukikosa samaki usitushutumu sana..
vipi za kazi babu?azawiz tuko pamoja sawa jameni..
At 10:03am on Aprili 22, 2008, Babukadja anasema…
Sasa Lukundo wewe pamoja na dada Emmy mbona mmepotea hivyo au mko ziwani mnavua sato? Tunawasubiri hao sato, halafu mje hapa mseme hamkupata kitu.
At 1:00pm on Aprili 19, 2008, CHIBIRITI anasema…
Poa kabisa, kazi ni msingi wa maisha, lazima kujituma sana dada. Kila lakheri!
At 10:29am on Aprili 19, 2008, lukundo anasema…
ahsante jamani mie nipo mambo tu ndo mengi azawiz nipo na kazi zaenda sawa..
nisameheni mwenzenu nilikuwa kidogo sipo barazani but nau nitakuwepo..
babu mie nipo..
chibiriti nashukuru kwa salamu../
mama malaika hali yangu ni nzuri just nimependa sana watoto wako..
edo nashukuru kwa salamu..
michuzijr nipe habari..
ann im okay im hapy pia to have yu barazani
nze'tu mbona kimya..
At 9:05pm on Aprili 18, 2008, CHIBIRITI anasema…
mambo? Ninakusalimu kwa sana!
At 4:02pm on Aprili 18, 2008, Babukadja anasema…
Dada upo? Kimyaaaaaaa!
At 3:06pm on Aprili 18, 2008, EDO NDAKI anasema…
Nashukuru sana dada yangu,Habari ya kwako.

nimepita kukusalimia.
pomoJAH
At 6:45pm on Aprili 17, 2008, Mama Malaika anasema…
Asante sana rafiki. U hali gani?
At 4:01pm on Aprili 17, 2008, lukundo anasema…
sawa mzee mzima,yani nashukuru sana nimepata mtani ambaye atanikeep company kwenye raha na huzuni..sawa mdau wasalimie huko huku jua tu na tumvua twa hapa na pale..
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter