FotoBaraza.Net

kisu
  • -kiume
  • Dar
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Kisu

Makundi ya kisu

Mijadala ya kisu

JIM REEVES

Started Dec. 8, 2009

 

Ukurasa wa kisu

Gifts Received

Gift

kisu has not received any gifts yet

Give kisu a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Desemba 31, 2009
cherry left a comment for kisu
Desemba 31, 2009
tulishalishwa kasa tangu mapema kuywa mabo yetu ni ya kishenzi na si ya kistaarabu hivyo ni lazima tuwe kama wao kila kitu kikawa hakifai,tukaanza mbwa wa kizungu,kuku wa kizungu,paka wa kizungu,jina la kizungu,jamani duuuuuuuuuuu ndio maana sisi tu…
Desemba 11, 2009
Wataalamu wa chapati kwa mchuzi toeni maksi hapo,wapi kitwana kondo oooooh wapi dito????????????!!!!!!!!!!!!
Desemba 8, 2009
kisu added a discussion
Ni kama angekuwepo nimsikie live,alitimiza kazi yake kwa kadri Mungu alivyomjalia kipawa chake,sisi je?
Desemba 8, 2009
Michuzi Jr replied to kisu's discussion 'DUA'
AAAAMMMMmEEEEEENNNNN!!
Desemba 2, 2009
IL-YA replied to kisu's discussion 'DUA'
sina budi kusema amina!
Desemba 2, 2009
Heeeee sasa ni boto wa tipper bado kwa kaka obama na kwa mjomba gadaff.nia njema iliyoanzishwa nafsini mwenu na ikatimizwe kwa uwezo wake mwenye enzi daima na millele
Novemba 26, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
LUDEWA
Umri
MATURE
Kazi Unayofanya
MAZINGIRA YETU
Namba ya Simu ya Haraka
0713
Anuani ya Barua Pepe
myondama@yahoo.co.uk
Mahusiano:
In a Relationship
Jinsia
-kiume
HEKIMA UHURU NA UMOJA

Picha za kisu

Inapandisha...

Comment Wall (175 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 3:47am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
At 7:33am on Novemba 25, 2009, Mama Malaika anasema…
Nashukuru kwa salamu za wajomba zako. Huku kwenye uafadhali tunalia na baridi, mvua (storms). Zaidi ya hapo mambo sio mabaya. Nimesikitika kusikia samaki wamepungua, basi hata hao dagaa na mchanyanto vyatosha. Ha haaaa..
Hao samaki wa magufuli ndio wakoje? Naomba unieleweshe. LOL...
At 3:33pm on Novemba 20, 2009, Mama Malaika anasema…
Mjomba wa Malaika... habari za Dar? Au uko Ludewa hivi sasa ututumie samaki? Nimeku miss kweli kaka yangu
At 11:29am on Ocktoba 31, 2009, Omari Namanji anasema…
mambo vipi mzee mkubwa
mzima wewe nakutakia
mchana mwema baiiiiiiiiiiiii
At 5:54pm on Ocktoba 15, 2009, Mama Malaika anasema…
Mwe wa Kisu, mbona kimya sana? Salama lakini?
At 9:21am on Septemba 29, 2009, alma anasema…
***Ameen Inshallah***
At 1:27pm on Septemba 22, 2009, wangamaganga anasema…
kumbe unajua mambo ya ikyupu na lyamba lya mfipa sasa wahangaishwa na nini, tulia dogo ule dagaa wako na kisamvu vinatosha, ukibadili sana unakwenda upareni kula makande teheteheteheeeee!
At 8:03am on Septemba 18, 2009, Michuzi Jr anasema…
haha ahaha ahaha aha........

wala usikonde mkuu Naifu mambo yatakuwa poa tu siku hiyo.

vipi wabasemaje Ludewa huko??
At 4:31pm on Septemba 17, 2009, wangamaganga anasema…
We bwana mdogo balaa unalolitafuta siyo la saizi yako, we watu washaanza kwenda ngende (Liwale) na Mlingotini (Bwagamioyo) weye unachonga tu Dar oooh nataka ubunge!

Wakikupenda sana hao jamaa ubunge utausikilizia Mirembe hukooooooooo Idodomya!
At 11:35am on Septemba 17, 2009, wangamaganga anasema…
Bora wende huko kwenye siasa utuachie mafungu yetu huku kwa wataalamu manake umezidi sana kutubania
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter