Uwanja wa mapishi na aina mbalimbali za chakula.
mnakaribishwa wadau kutupa aina mbalimbali ya mapishi na chakula.kumbuka hata mchele mmoja unaweza
kuupika ktk aina 50 za mapishi.
yaani senene hao kwa sana sana tu lakini mie natokea masasi nitakupikia samaki nchanga hebu muulize mzee vava akupe habari za samaki nchanga' lakini yote heri kwa mama kila kitu kipo na kudeke full kujiachia,Asante
Habari ni nzuri kwa sasa tulikua tunauguzana na homa,unajua watoto walivyo mmoja akiumwa mwengine adake.Theluji ina wapelekesha waingereza kiasi mambo yote yasimame.Vipi na wewe huko?? nyie mshaizoea ya kila mwaka inabidi waingereza waje kozi Canada maana wamejisahau sana haha.
At 10:17am on Februari 9, 2009, fatma mrisho anasema…