FotoBaraza.Net

john mwakyusa
Shirikisha 

Marafiki wa John mwakyusa

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya john mwakyusa

Mijadala ya john mwakyusa

 

"There are many causes that I am prepared to die for but no causes that I am prepared to kill for".(M. Gandhi)

Gifts Received

Gift

john mwakyusa has not received any gifts yet

Give john mwakyusa a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Desemba 2
Novemba 28
john mwakyusa updated their profile
Novemba 15
Uko Wapi? Dar-es-salaam, TANZANIA Umri 39 Tovuti Yako: http://www.UDBS.udsm.ac.tz Mahusiano: Married Jinsia Male
Novemba 15
mwenyekiti,sh.....habari za jioni. uwe na jumapili iliyo njema.
Septemba 27
Nakubaliana na wewe bro!!
Agosti 16
HABARI ZA MCHANA DADANGU, UWE NA SIKU ILIYO NJEMA
Julai 31
Juni 11

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar-es-salaam, TANZANIA
Umri
39
Kazi Unayofanya
MWALIMU
Namba ya Simu ya Haraka
+255-754-384453
Tovuti Yako:
http://www.udbs.udsm.ac.tz
Anuani ya Barua Pepe
jonric@udbs.udsm.ac.tz
Mahusiano:
Married
Jinsia
Male

Picha za john mwakyusa

Inapandisha...

Comment Wall (98 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 12:04am on Novemba 28, 2009, Mama Malaika anasema…
Kaka yangu mbona umepotea sana?? AU bado uko Sweden? Malaika anauliza uncle yuko wapi kote Dar hadi Tukuyu na Kyela kafika mwezi June kukuulizia jamani. Nakutakia wakati mzuri
At 2:47pm on Juni 11, 2009, Maingu anasema…
Mkuu salama?
Habari ya kupotena?

Nimekatiza mtaa huu kukujulia hali.
jioni njema.
At 3:37pm on Mei 29, 2009, Sarah anasema…
Karibu tena kijijini naona umetuwekea picha nzuri haya nitarudi baadae kuacha coment siku njema
At 12:30pm on Mei 29, 2009, Ritha T anasema…
sio mpaka mungu anionyeshe,ila tu nimeshuhudiwa ndani ya moyo wangu kuwa nyimbo za dini zinalipa kuliko bongofleva.nahisi mauzo ya rose yapo juu kuliko mr blu.nataka nikubadilishie ladha au siyo?
siku njema kwako pia.
At 7:32am on Mei 29, 2009, Ritha T anasema…
hahahah....saivi nataka niweke vibao vya christina shusho na roze muhando.
nahisi wageni wengi watakaokuja watabarikiwa sana...lol
kwema huko lakini?
At 9:36pm on Mei 20, 2009, George Mwakabole anasema…
Mwanangu hapa ni jiko la mkaa tena ule wa msata pande za bagamoyo, nasikia ndo unawaka vizuri. Hata hivyo, sasa hivi ni jua sana summertime, hizi nguo zinazovaliwa wakati huu mh!! inataka mwenyewe uone ndo uamue.

Salaam, mi pia nimepita kukusalimu.
At 12:42pm on Mei 9, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante sana kaka yangu. Malaika anasema hawezi kwenda bongo hadi wewe mjomba mtu uwepo ili umpeleke Mbeya akale ndizi na mpunga. Shemeji yako ndio ana hamu sana kwani kwa ndizi humtoi, anazikumbuka kila siku. Mie nina project hapa imenibana, si unajua tena kazi ni kazi. Ila nikimaliza tu project siku hiyohiyo tutakata return ticket online na kuondoka.

Warudi lini bongo? Karibu sana UK kaka yangu.
At 7:42pm on Aprili 15, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante sana kaka yangu kwa busara zako na ndio maana nilikukumbuka. Ukiondoka hiyo May utarudi lini TZ? Nami mwezi May nategemea kuja Sub Sahara kuwaleta wajomba zako kina Malaika wakati na wewe mjomba wakimbilia northern hemisphere. Hapo kazi kweli kweli. haaa....
Sie sote tuko wazima ila mie ndio nimebanwa, I'm juggling with work, university, family, with the added pressure to be a proper wife. It's the skill of a woman who grew up on the third world country. LOL.....

Nakutakia maandalizi mema ya safari.
At 12:10pm on Aprili 15, 2009, Mama Malaika anasema…
Ulikughu wa kumyitu. Mbona kimya kingi? Nimekukumbuka mweee.....
At 12:54am on Aprili 11, 2009, Sarah anasema…

 
 

Besdei za Kuzaliwa

Wazaliwao Leo

Wazaliwao Kesho

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter