happy easter 2 u ,katika safari ya kwenda Kalvari YESU akiwa ameubeba msalaba alianguka mara kadhaa aqlijeruhiwa na kudhihakiwa,akafa kifo cha aibu hatimae akashinda mauti.Nasi ktk safari tuliyo nayo tumeanguka mara na tumejeruhiwa pia hebu tumwangalie KRISTOhakika tutasimama imara tutapata USHINDI
happy easter 2 u ,katika safari ya kwenda Kalvari YESU akiwa ameubeba msalaba alianguka mara kadhaa aqlijeruhiwa na kudhihakiwa,akafa kifo cha aibu hatimae akashinda mauti.Nasi ktk safari tuliyo nayo tumeanguka mara kwa mara na tumejeruhiwa pia hebu tumwangalie