Ni muda mrefu sasa umepita sijaonekana hapa kijijini ikiwa si kawaida yangu kupotea ghafla na kwa muda mrefu namna hii na kupelekea baadhi ya wanakiji kuwa na wasix2 na kutaka kujua kulikoni.
Kwa kifupi mimi mzima wa afya na namshukuru Mungu kwa kila jambo ila ni majukumu ya maisha ndio yaliyosababisha yote haya lakini hata hivyo nimerudi kijijini kwa nguvu zote na kasi ileile ya awali. ningependa kuomba samahani kwa sms zako ulizonitumia ambazo nilishindwa kuzijibu kwa wakati muafaka, kwa sasa nakuahidi kuwa nipo kijijini nimerudi na kuendeleza libeneke hapa kijijini. kwa kweli nimekumiss sana mwanakijiji mwenzangu, lakini sikuwa na jinsi ni maisha ndivyo yalivyo naomba tuvumiliane. namuomba Mungu aendelee kukupa moyo wa uvumilivu, bado tupo pamoja. nakutakia siku njema na w/end njema
At 9:20am on Agosti 18, 2008, Mm eFrancia anasema…
mambo vipi win!
natumaini umeanza siku yako vyema kabisa....kama mimi,nashukuru kwa ujumbe..ni kweli...ni kazi kwa kwenda mbele as u said..mwisho wa mwezi unalia kivulini teh teh ..!furahia siku yako.
cheers babygal!
Comment Wall (15 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Kwa kifupi mimi mzima wa afya na namshukuru Mungu kwa kila jambo ila ni majukumu ya maisha ndio yaliyosababisha yote haya lakini hata hivyo nimerudi kijijini kwa nguvu zote na kasi ileile ya awali. ningependa kuomba samahani kwa sms zako ulizonitumia ambazo nilishindwa kuzijibu kwa wakati muafaka, kwa sasa nakuahidi kuwa nipo kijijini nimerudi na kuendeleza libeneke hapa kijijini. kwa kweli nimekumiss sana mwanakijiji mwenzangu, lakini sikuwa na jinsi ni maisha ndivyo yalivyo naomba tuvumiliane. namuomba Mungu aendelee kukupa moyo wa uvumilivu, bado tupo pamoja. nakutakia siku njema na w/end njema
Nakutakia pia siku njema.
Mungu akulinde kwa kila baya
vp nawe mzimaa???
natumaini umeanza siku yako vyema kabisa....kama mimi,nashukuru kwa ujumbe..ni kweli...ni kazi kwa kwenda mbele as u said..mwisho wa mwezi unalia kivulini teh teh ..!furahia siku yako.
cheers babygal!
kuwa na muda mzuri siku ya leo.
Ona Maoni Yote