FotoBaraza.Net

damnan
  • -kiume
Shirikisha 

Marafiki wa Damnan

Makundi ya damnan

Mijadala ya damnan

NI HATUWA GANI TWAWEZA KUCHUKUWA WANAOUZA MADAWA YA KULEVYA,

nimasikitiko unapotembea mitaani na kuwaona vijana wetu na wasichana wamelala kwa kuka na huku nyute zawatoka mdomoni. zaidi ya hayo wanaambukizana ukimwi kwa kujidunga sindano moja. kuletea jami a...

Started Oct 12

JE,KUNA MADHARA USAGAJI?

ni laana kubwa sana kwa mwenyezi mungu tabia hiyo na pia wanapoteza hamu ya kufanya ngono na mwanamume zaidi ya hayo wanawafundisha wasichana wadogo usagaji ambayo inawaletea madhara ya ktotamani k...

Amejibu Oct 12

Swali Kwa WanaKijiji Woote

munaposema au kufikiria mahali pakukutana kwanza mufikirie wenzenu wanaotoka miji tofauti na wengine wanatoka inchi tofauti. naona mfalme aliye tanga awe mwenyeji wetu au mwasemaje wanakijiji

Amejibu Oct 7

 

Ukurasa wa damnan

Gifts Received

Gift

damnan has not received any gifts yet

Give damnan a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Furaha and damnan are now friends
yesterday
damnan left a comment for IL-YA
on Tuesday
on Tuesday
Novemba 28
IL-YA left a comment for damnan
Novemba 27
Leila left a comment for damnan
Novemba 27
damnan updated their profile photo
Novemba 26
damnan and Wence Wandi are now friends
Novemba 23
Huyu jamaa sidhani kwamba ana makosa. Kwa upande wangu naona yuko na haki zote. Mimi si muislam na ni mkristo. Huyu jamaa ameingia humu kutafuta waislamu wenzake ili waanzishe kundi lao. Pengine ameona humu ndio mahali atakapo wapata. Ni kweli mas...
Novemba 18
Ha ha ha ha ha Sikuiona hiii, yaani Lecturer Magere ni mtu wa kinywaji ndo mana anatakiwa aokoke. Mbona ...ehe ngoja niishie hapo.
Novemba 18
Mi coni tatizo la kuanzisha hili kundi,hata kama litakuwa la mabuda kimsingi kijiji hakina dini bali wanakiji wana dini zao mbalimbali,so haina noma!
Novemba 18
mi binafsi sidhani kama alifanya kosa kusema hivyo, kwani kukumbushana katka dini ni mambo ya kawaida kwa sisi binadam, kwani kila mtu ana dini yake. sasa hapo kwani kuna kosa jamani? hakufanya vibaya kabisa mi sioni kosa kabisa.
Novemba 18
lakini bwana damnan hajaja kama nabii hapa
Novemba 18
Embu ninyamaze wasije wakanisomea albadili bure
Novemba 18
Mtoto Mzuri kwani umeanza lini tabia mbovu namna hii?? kwani huyu Damnan amekulazimisha kuchangia hii mada yake alioianzisha hapa kijijini???na ni kosa gani alilolifanya huyu Damnan kwako na kwa wadau wengine?? Kwa mimi binafsi sijaona ubaya wow...
Novemba 17
Damnan tuko na ndio maana uko vinginevyo tusingekuwepo na usinge kuwepo,Una uhuru wako wa kuongea kutoa maoni ili watu wayasikie kwani kumi kati ya moja linaweza likawa elimu kwa wengine,Mimi binafsi naelewa binadamu tuko toauti ila kuambina kupo ...
Novemba 17

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
mombasa. mvita
Umri
50
Kazi Unayofanya
yategermea
Namba ya Simu ya Haraka
0733724838
Anuani ya Barua Pepe
hassandamnan@yahoo.com
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kiume

Comment Wall (25 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 7:06pm on Desemba 2, 2009, clara anasema…
kwema hapa jamani? uwe na siku njema na salamu kwa familia
At 12:09am on Novemba 28, 2009, Mama Malaika anasema…
Jamani salama hapa? Naona umepotea kaka yangu, familia yote muko wazima? Nimepita kuacha salamu za eid
At 9:19pm on Novemba 27, 2009, IL-YA anasema…
hi brother nakutakia idd njema.
At 2:28pm on Novemba 27, 2009, Leila anasema…

At 8:27am on Novemba 3, 2009, Alfan anasema…
Mambo vp hapa, usalama upo?
At 1:47pm on Ocktoba 28, 2009, REBECCA KASUWI anasema…
ok poleni sana nawatakia kila kher.
At 1:18pm on Ocktoba 27, 2009, Dismas anasema…

At 10:16am on Ocktoba 27, 2009, REBECCA KASUWI anasema…
Shukrani sana kaka poleni sana na mvua na mafuliko mungu hazidi kuwalinda siku njema.
At 3:31pm on Ocktoba 26, 2009, REBECCA KASUWI anasema…
Hi my friend habari ya huko
At 2:19pm on Ocktoba 26, 2009, Alfan anasema…
Hello! Mambo vp?
 
 

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this Ning Network.

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter