Hepi besdei mkuu,, nakutakia kila lakheri na baraka za mwenyezi Mungu akujalie miaka mingi yenye furaha na kherii.. uje uvione vijukuu vitukuu, vilembwe na vilembwekeza... Pamojah!!
Niaje kaka..Mi nipo ila sasahivi mida ya monie na mchana huwa sipo sana hewani kwasababu ya shule inabana kisela.Nipe data kaka we uko Arusha sehemu gani??Huenda ikawa tunafahamiana ingawa unafanana na mawingu kwasababu ndio picha yako.Hahahaha..Sure man nipe data zaidi nikumbeke miaka hiyo nilipo kuwa Atown..
habari yako.
hiyo picha isikupe tabu, hata mimi nimeweka lakini sijui ni kiube gani katika dunia hii ingawaje kinaonekana kusikiliza music.
Rafiki mmoja amenieleza hapo kuwa huyo ni kobe lakini bado sijalidhika na majibu yake. kwa mantiki hiyo bado nafanya uchunguzi zaidi nitakupa jibu isikonde.
nakutakia siku njema
Comment Wall (23 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Amani kwako.

Ona Maoni Yote