FotoBaraza.Net

Ukurasa wa kishazi

Gifts Received

Gift

kishazi has not received any gifts yet

Give kishazi a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Septemba 20, 2009
Tupo pamoja Young katika kipindi hiki kigumu Jah bless you and Family
Juni 7, 2009
Mei 16, 2009
Mei 16, 2009
Mei 15, 2009
Mei 15, 2009
kishazi amebadili picha yake
Machi 4, 2009
Lucie wa mama and kishazi are now friends
Februari 20, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
KIla Mahala
Umri
28
Kazi Unayofanya
Mkulima
Namba ya Simu ya Haraka
+255784238080
Tovuti Yako:
http://ddaudi.blogsport.com
Anuani ya Barua Pepe
daviddaudi@gmail.com
Mahusiano:
Single
Jinsia
-kiume

Picha za kishazi

Inapandisha...

Comment Wall (32 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 9:55am on Mei 16, 2009, CHA the Great anasema…
dah Mkuu ukimya unazidi sana..yaani hadi kijiji kinaanza kusahau kama kulikuwa na mtu anaitwa Kishazi
At 2:08pm on Februari 20, 2009, Babukadja anasema…
Poa ngoja nikusanye majani mabichi nitafute na kiberiti kwa ajili ya kuja kuwalewesha hao nyuki tuanze kurina asali sie.
At 1:17pm on Februari 20, 2009, Lucie wa mama anasema…
Huwa napenda sana hii songi ya 'Teach me teacher' inanikumbusha mbali sana lol..
At 1:14pm on Februari 20, 2009, Lucie wa mama anasema…
Bado kidogo itakuwa na wakati wake si unajua mambo ya kwaresma? au ww dini gani... ok kama ukiona uache ni vizuri unaeneza ujumbe au cyo?
At 8:32am on Februari 20, 2009, Babukadja anasema…
Mkuu hiyo asali tugawane mkuu, tumelamba shubiri vya kutosha.

Mzee umeoa hapo nini? MAana kila siku uantuambia warudi siku inayofuata halafu kimyaaaaaaaa! Baelezee mkuu, baelezee!
At 1:12pm on Februari 19, 2009, Lucie wa mama anasema…
Mamboz, vp hali yako best? picha yako yanisikitisha sn mh.
At 9:06am on Februari 19, 2009, CHA the Great anasema…
WHATA GWAN?
At 8:58am on Februari 19, 2009, Mkwaya anasema…
salaam.
At 7:29pm on Februari 18, 2009, Babukadja anasema…
Kaka inaelekea kuna asali na maziwa huko uliko, mbona umekawia sana, au unamsubiri masia? Tuambizane mkuu.

Huku poa sana, just got back from Zanzibar
At 6:18pm on Februari 15, 2009, CHA the Great anasema…
MKUU HIVI UPO NDANI YA NCHI HII KWELI?
KAMA UPO NDANI YA NCHI NAOMBA UNIPE SUPPORT YAKO KWA KUVAA T-SHIRT YA PAMOJAH AMBAYO KWA SASA INAPATIKANA KAMA NJUGU VILE, GHARAMA YAKE NI TSHS 10000/= TU. NUNUA MKUU ILI UCHUMI WANGU NA WA NCHI KWA UJUMLA UPANDE.
T-SHIRT ZINA UBORA MUULIZE CHAOGA NA MR. MAINGU WAKUPE UHAKIKA.
ASANTE SANA
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter