At 2:44pm on Ocktoba 16, 2009, Lucie wa mama anasema…
Mambo?
Namic wewe duh!
Uwe na W end njema basi
At 2:35pm on Ocktoba 14, 2009, Mama Malaika anasema…
Ni kweli umepotokea wizi. Nimeshangaa Young anambia kuwa ndio mchezo unaofanywa siku hizi bongo, mie sikujua kabisa. Banks wamenambia kuwa kuna watu (criminal gangs) wana clone cards tunapotumbukiza kwente ATM, kiji machine kinafichwa hakionekani, ukishaondoka jamaa wanachukua details zako na kutengeneza card nyingine mpya na ndio hiyo wanaitumia. Nasikia west Africa watalii ndio watu wanalizwa sana sana, ujue sie tunaogopa kutumia credit cards bongo, isipokuwa debit cards tu kwani wakiiba wanaiba kidogo masalio. Credit card mtu aki draw pound 9,000 si ndio balaa?
hodii, nyumbani kwa mwenyekiti. Nimepita kukujulia hali.
stay blessed.
PAMOJAH
At 3:56pm on Ocktoba 12, 2009, CHA the Great anasema…
Me doing fine man
At 6:15pm on Ocktoba 7, 2009, Mama Malaika anasema…
Ukiweza tafuta vitabu hivi "Forbidden History" na kingine "Forbidden Science: From Ancient Technologies to Free Energy" by Douglas Kenyon. Hasa hiki kitabu chake cha pili "Forbidden Science" naona ndio kitakufaa sana. Hicho cha kwanza utakutana na zile monuments za DVD uliyopata na mengine mengi sana zaidi ya monuments. Mie nasubiri nimalize exams ndio nivisome zaidi... baba M anasema itabidi atengeneze chumba special for my books maana ndani mwake kumegeuka kama maktaba ya nyumbani kwa Winston Churchill.
At 10:47am on Ocktoba 7, 2009, Mama Malaika anasema…
At 3:25pm on Ocktoba 6, 2009, Omari Namanji anasema…
mzima
huko ulipo ndugu yangu
nakutakia safri njema
na kazi njema
baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Comment Wall (2,011 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Namic wewe duh!
Uwe na W end njema basi
stay blessed.
PAMOJAH
huko ulipo ndugu yangu
nakutakia safri njema
na kazi njema
baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ona Maoni Yote