FotoBaraza.Net

araway
  • -kiume
  • morogoro - tanzania
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 

Marafiki wa Araway

Muziki

Inapandisha...

Makundi ya araway

 

Ukurasa Wangu

Gifts Received

Gift

araway has not received any gifts yet

Give araway a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

hii nayo kali,lakini mtu mimi siko tiyari kudanganyika na vitimbi vya mshirikina hata nukta moja.lakini kuna nukta niashirie hapo kwamba taarifa hiyo inasema kwamba mheshimiwa huyo aliyekamatwa alikuwa na vitabu vya kishirikina,hapa ushirikina ali...
masaa 20 yaliyopita
on Friday
kaka huyu mdada alikukwida nini naona kama kakupiga tanganyika jeki kwa mbaali!
on Friday
nilikuwa nampooza mtoto kapaliwa! mh oh hapana nilikuwa nauo mbu kwa mgongo wa mwana
on Friday
on Friday
mbona sikumbuki oswald? hii ilikuwaje?
on Friday
mama hawa ni binamu zangu usiogopez!
on Friday
hapana mama huyu mtoto alikaa kwa kiti changu na hapo nilikuwa najitahidi kumuondoa
on Friday

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
morogoro
Umri
mtu mzma
Kazi Unayofanya
dalali
Namba ya Simu ya Haraka
0754026030
Tovuti Yako:
http://www.bongslang.blogspot.com
Anuani ya Barua Pepe
rayu9112001@yahoo.com
Mahusiano:
It's Complicated
Jinsia
-kiume

your destiny

Believe while others are doubting.
Plan while others are playing.
Study while others are sleeping.
Decide while others are delaying.
Prepare while others are daydreaming.
Begin while others are procrastinating.
Work while others are wishing.
Save while others are wasting.
Listen while others are talking.
Smile while others are frowning.
Commend while others are criticizing.
Persist while others are quitting.

Picha za araway

Inapandisha...

Araway's Blog

araway

KILA KITU NI FAKE SIKUHIZI KABAKI MAMA TU NDO ORIGNAL!! CHECK THIS

Juma (sio jina lake), alitambulisha mchumba kwa baba yake, kwa bahati mbaya baba yake alimkataa mchumba huyo kwa maelezo kuwa ni ndugu yake wa damu kutoka kwa mama mwingine ambaye baba yake alizaa naye. Baadae vipimo vya dna vilimpa uhakika.

Kwa kuwa juma alimpenda sana yule mchumba wake basi aliamua kwenda kuomba ushauri kwa mama yake, kwa mshangao mama yake alimpa baraka zote na kumruhusu amuoe huyo mchumba wake, kwani hata yeye baba yake halisi alikuwa ni house boy wao wa zamani ambaye kwa s… Continue

Posted on Agosti 1, 2009 at 6:00pm — 1 Comment

araway

majibu ya bosi

After 10 years of selfless service, a man realized that
he has not been promoted, no transfer, no salary increase
no
recommendation and that the company is not doing any
thing about it.
So he decided to walk up to his boss one morning and
after the exchange of greetings, he told his boss his
observation.
The boss looked at him, laughed and asked him to sit
down saying; My friend, you have not worked here for even
one day.

The man was surprised to hear this, but the boss went on
to explain:

Bos… Continue

Posted on Aprili 7, 2009 at 11:22am — 2 Comments

araway

kwanini tunapenda watoto? ivi nikwasababu wazuri? hapana embu soma hii!

1. A kindergarten pupil told his teacher he'd found a cat, but it was

dead. "How do you know that the cat was dead?" she asked her pupil. "Because

I pissed in its ear and it didn't move," answered the child innocently. You

did WHAT ? ! ?" the teacher exclaimed in surprise. "You know,"explained the

boy, "I leaned over and went 'Pssst!' and it didn't move."

2. A small boy is sent to bed by his father. Five minutes

later....."Da-ad...." "What?" "I'm thirsty. Can you bring drink of water?"

No… Continue

Posted on Novemba 29, 2008 at 9:22am — 11 Comments

araway

busara kidogo tu yaweza kukuepushia matatizo

A man joined a big Multi National Company as a trainee.
On his first day, he dialed the kitchen and shouted into the phone: "Get me a cup of coffee, quickly!" The voice from the other side responded: "You fool, you've dialed the wrong extension! Do you know who you're talking to ?"
"No" replied the trainee.
"It's the Managing Director of the company, you idiot!"
The trainee shouted back: "And do you know who YOU are talking to, you IDIOT ?"
"No!" replied the Managing Director angrily.
"Thank God… Continue

Posted on Novemba 29, 2008 at 9:11am — 3 Comments

Comment Wall (603 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 11:54pm on Novemba 27, 2009, Mama Malaika anasema…
Naona wajihami na binamu zako.. itabidi Oswald tumpige stop aache upaparazi. LOL...

Vipi za Moro? Joto kwenu vipi? Ila natumai sio kali sana kama la Dar. Na hamu ya kuja bongo for Christmas lakini nikifikiria joto kichwa chanizunguka, na huu umeme wa mgao si ndio balaa tupu.
Have a wonderful weekend
At 3:34pm on Novemba 24, 2009, beatriz anasema…
niende wap weweeeeeeeeeee...................me hapa ndo nshafika
At 3:10pm on Novemba 24, 2009, james anasema…
Ahsante kaka
At 3:48pm on Novemba 20, 2009, Mama Malaika anasema…
Mzee wa magimbi vipi msimu tayari tuje kula?? Sijui viazi navyo vipo maana navipenda sana sana.
Ijumaa yasemaje pande yako? Hapa ni mvua kwa sana na mafuriko ya kuua watu
At 9:13am on Novemba 20, 2009, Dixon anasema…
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 2:48am on Novemba 19, 2009, Sarah anasema…
Salama humu ndani??
At 11:59pm on Novemba 18, 2009, Dunda anasema…
kaka vp
kwema lakini
At 5:44pm on Novemba 18, 2009, CHA the Great anasema…
Amani iwe nawe!
At 3:42pm on Novemba 17, 2009, Mama Malaika anasema…
salaleko!!
At 3:26pm on Novemba 13, 2009, Omari Namanji anasema…
kaka mji kasoro baali awajambo?
 
 

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this Ning Network.

Besdei za Kuzaliwa

Hakuna Besdei ya Kuzaliwa leo

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter