kaka anord habari yako na mambo vipi? Niwie radhi sikuwa hewani kwa wiki kadhaa kutokana na shughuli za hapa na pale hivyo nimechelewa kukualika kama rafiki from FB. Karibu sana.
At 7:01pm on Novemba 29, 2009, HALIMA ALI anasema…
HALLOW NAFARAHI KUWA RAFIKI YAKO
At 8:18am on Novemba 25, 2009, Mama Malaika anasema…
Ndio binti yangu, wengi wanasema tunafanana. Na kaka mtu wanasema afanana na baba yake. Ila ni fahari binti kufanana na mama kuliko kufanana na baba yake. Ha haa aaa
Sie tumetoka huko mwezi June, hatujui tutakuja lini tena. Kitu kikubwa tuombe uzima. Nakutakia siku njema