waoooo mi niko udsm lakini siinjoy likizo wala nini napigika na field.acha kuinjoy likizo wewe tafuta kibarua kikuingizie mambo flani au unasubiri buuuum!
yeah,mwaka mmoja na wale!ila si unajua mutta anapiga xul south saivi?
mi nimejishikiza tu hapa kwa muda wkt bado nacheki ustaarab mwingine mzee!hope upo ifm....vp george mzima?yule jamaa mwenye sauti ya chuma!!!
poa mkuu!
yep,nilikuwa pale for four yrs!we ulikuwa mbele yangu!
mi nilikuwa class moja mutaa kais pamoja na george mtoto wa soweto!hope unawakumbuka watu hawa!!!
Comment Wall (12 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu

Ona Maoni Yote