Vipi Mtu wangu? nipo powa tu kama kawaida, nimetoka shamba sasa nafanya uzurulaji, unajua tena kupumzisha kichwa! hahahaa, vipi mitaa ya huko? mambo ikienda sawa nitakuwa na kikao kidogo na bro chaoga kwenye mambo yetu yale... hahahaa
Salam zao wote! mchana mwema.
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema. Nitakuona badae wewe, hahahahaaaa
Comment Wall (396 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Hajambo eFrancia?
nice day mamaa
Salam zao wote! mchana mwema.
nakutakia jioni njema.
nikute umemvalisha kitop kabisa na kipedo nikazurule nae weee.
Ona Maoni Yote