FotoBaraza.Net

Vicky
  • -kike
  • Bongo tambarare
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Vicky

Makundi ya Vicky

 

I LEAVE MY EVERY SECOND AS MY LAST ONE.

Gifts Received

Gift

Vicky has not received any gifts yet

Give Vicky a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

komredi left a comment for Vicky
Ocktoba 27, 2009
Ocktoba 27, 2009
Kwa mawazo yangu, Faida zipo kama dada lucie ulivyosema unazijua, na hasara pia zipo kama unavyohitaji kutajiwa. Ubaya wake ni kama, lazima utumie nyenzo mbadala wakati wa ......., kuna baadhi ya vitu ambayo ungepata kwa different sex ila hutapata s…
Ocktoba 22, 2009
Vicky left a comment for Sarah
Juni 16, 2009
Juni 16, 2009
Juni 16, 2009
Juni 15, 2009
CHA mbona unashindwa kuongea? umeona nini sasa
Juni 15, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar-es-salaam
Umri
old enough
Kazi Unayofanya
Accountant
Namba ya Simu ya Haraka
............
Tovuti Yako:
http://serengetiadviser.com
Anuani ya Barua Pepe
duh!!!!!!!!!!!
Mahusiano:
In a Relationship
Jinsia
-kike

Picha za Vicky

Inapandisha...

Comment Wall (475 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 11:33pm on Ocktoba 27, 2009, komredi anasema…
nashukuru kwa kupita kibarazani kwangu na salamu zako nimezipata ispokuwa kama ulivyoona tangazo la msiba hapa kijijini tulikuwa tunaomboleza msiba wa mwanakijiji mwenzetu marehemu Salim Zuze lakini tunashukuru tumemaliza salama.
na sasa napatikana kwa wingi tu hapa kijijini, usijali tupo pamoja.
nakutakia siku njema
At 9:11pm on Ocktoba 27, 2009, Meshack maganga anasema…
we mbona kimya? vipi ile opportunity mbona unaiacha tu call me or text me for more 0713 486 636
At 10:47am on Julai 15, 2009, Mama Malaika anasema…
Wewe binti mbona unamrusha roho mwanangu hivyo? Talaka yako iko njiani yaka.
Habari ya toka mwaka jana? Ulikuwa wapi?
At 8:25am on Juni 18, 2009, Mabagala anasema…
Niko kwenye kampuni ya kutembeza watalii!!!
At 9:44pm on Juni 16, 2009, Sarah anasema…

At 12:51pm on Juni 16, 2009, Mabagala anasema…
Vicky karibu sana upembani, huku utakuta nimeshakuandalia Zanzibari Dishes.
At 12:43pm on Juni 16, 2009, Dismas anasema…
Mtoto kwa kupotea wewe, utadhani meno ya kuku hahaahaaa.Ni aje Vicky, mimi cna blog wala website yoyote ya malavidavi. Ila nina kundi la malavidavi hapa fotobaraza. Kwani nani alikwambia nina website/blog ya malavidavi?

Amani kwako
At 9:18am on Juni 16, 2009, Michuzi Jr anasema…
jamaniii Vicky!!!

mbona tumetupana sana namna hiyoooo??yaani unaku kama vile haupo kijijini?vipi mzima lakini wewe?

nimefurahi sana kuona kijiji chako siku ya leo.

Pamojah Kijijini.
At 12:19am on Juni 16, 2009, Sarah anasema…
umeadimika kama hela ya rupia jamni
At 7:23pm on Juni 15, 2009, ed anasema…
Weekend ilikuwa njema tu. Asante kwa kunipitia na kunikumbuka pia. Kwoko mambo vipi lakini? Nakutakia week njema nawepia. Hugss!
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter