Ebwan mie nashangazwa kiasi kikubwa na mtu anae amua kujitia muhanga kiasi cha kuyaona maisha yake mwenyewe hayana umuhimu. Lkn ninachotaka kusema hapa ni kwamba jamani, kitendo cha kujiua kipo inje ya maadili ya dini zote za mungu hivyo basi inawez…