FotoBaraza.Net

Nacma
  • -kike
  • Sengerema
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Nacma

Makundi ya Nacma

Mijadala ya Nacma

In our everyday life there are so many friends and other close ones who touch our lives and help us in our stride. Reach out to all those people and tell them how thankful you

Loading feed

 

Let your dear friends know how much joy they bring into your life

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Nacma left a comment for Alfan
on Monday
Alfan left a comment for Nacma
Desemba 31, 2009
cherry left a comment for Nacma
Desemba 31, 2009
Ahsante sana dada Nacma,ujumbe wako unanikumbusha hadithi ya imam Ali (a.s) aliposema:na hapa namnukuu: إنّ الْيَوْمَ عَمَلٌ وَلا حِسابَ، وَغَداً حِسابٌ وَ لا عَمَل "Hakika (siku ya leo) ni siku ya kufanya amali sikuhesabiwa,na (kesho) ni siku ya k…
Desemba 17, 2009
ahsante dada nacma ujumbe umefika
Desemba 17, 2009
Nacma added a discussion to the group UKUMBI WA KISLAMU
Tuna nini Sisi wanaadamu wa leo!? Ivi leo kuna Mtu :-? Mtu jeuri na mwenye kiburi kama Firauni (Laanatuu Llah) ? Mtu mwenye maringo na majivuno maovu kama Qaruun (Laanatuu Llah)? Mtu mwenye mali (Tajiri wa Matajiri) na nguvu ya Jeshi kama Nabii Sule…
Desemba 17, 2009
Amani ishuke juu yako pamoja na neema na baraka zake Allah. Asante sana dada yetu kwa kutufikishia ujumbe muhimu kama huu. Jazakallah Kheiry.
Desemba 12, 2009
Nacma added 2 discussions to the group UKUMBI WA KISLAMU
Desemba 11, 2009
damnan replied to Nacma's discussion 'IJUE NAJISI' in the group UKUMBI WA KISLAMU
asalam alaikum ukhty nacma. nimefurahi sana kwa mafundisho yako ni kweli watu wengi hawaelewi maana ya najsi na hasa ni nini hiyo najsi mimi nasema jazaka allah kheri nataraji tutapata elimu ya dini zaidi kupitia ukumbi huu wsalam
Desemba 11, 2009
Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): "Swalah tano, na Ijumaa mpaka Ijumaa, na Ramadhaan mpaka Ramadhaan, zitamfidia baina yake madamu atakua ni mwenye kujiepusha na madhambi maku…
Desemba 10, 2009
Nacma joined damnan's group
ASALAM ALAIKUM. ukumbi huu ni wa kukumbushana na kuelimishanamaswala ya duniani na kesho akhera zaidi ni kumkumbuka maulana na mtu yoyote anakaribiswa kujiunga awe muislamu au si muislam bora tuwe na maoni ya amani karibuni
Desemba 10, 2009
Alfan left a comment for Nacma
Novemba 26, 2009
Nacma wamebadiliwasifu
Novemba 23, 2009
Nacma amebadili picha yake
Novemba 12, 2009
Dismas left a comment for Nacma
Ocktoba 14, 2009
Ocktoba 2, 2009
Ocktoba 2, 2009
Ocktoba 2, 2009
Septemba 28, 2009
Septemba 27, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Mwanza
Umri
Mkubwa
Kazi Unayofanya
kuzungukazunguka
Namba ya Simu ya Haraka
haina baraka
Tovuti Yako:
http://fotobaraza.ning.com
Anuani ya Barua Pepe
nasmaa2009@hotmail.com
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kike

Picha za Nacma

Inapandisha...

Comment Wall (62 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 4:47pm on Desemba 31, 2009, Alfan anasema…
NEW YEAR
At 3:32am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
At 2:26am on Desemba 31, 2009, cool anasema…

At 2:01pm on Desemba 29, 2009, Dunda anasema…
kwema pandee hizii
At 3:32pm on Novemba 26, 2009, Alfan anasema…
Kwema hapa?
At 9:48am on Ocktoba 21, 2009, Nacma added a gift to their profile…
Kiss every one but trust one!!
From the Gift Store
At 9:11am on Ocktoba 14, 2009, Dismas anasema…
Amani kwako Nacma, 2po pa1 dada
At 8:11am on Ocktoba 2, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
sema toto la sengerema! mzima wewe nakutakia siku njema!
At 9:22am on Septemba 28, 2009, Glory Mtuy anasema…
habari nacma napita kukujulia hali. Siku njema
At 5:50pm on Septemba 27, 2009, Mabagala anasema…
Sijaadimika dada, mimi nipo tu. Vipi wewe huko Mwanza? jioni njema
At 12:44pm on Septemba 27, 2009, Michuzi Jr anasema…
Nashukuru sana Nacma kwa kukatiza mtaani kwangu na kuniachia kamzigo ka salamu ulikokuwa unakagawa kwa wanajuiya woote.

karibu sana tena na tena na ujisikie uko nyumbani ukija tena.

Pamoja mamaake.
At 12:22pm on Septemba 27, 2009, Dunda anasema…
ahsante kwa salam
At 3:26am on Septemba 27, 2009, Ndekia anasema…
hapana sifanyi kazi huko au nimekuelewa vibaya dada yangu labda unifahamishe vizuri nikuelewe......
At 11:47am on Septemba 26, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante kuongea nawe. Nakutakia weekend njema
At 10:24am on Septemba 26, 2009, Mama Rayan anasema…
mambo jamani si unajua tena yaani tokea saturday tulikua off ya idd si unajua tena waswahili yanatudhuru hayo any how nipo ok mambo mengine vipi idd imekwisha salama
At 9:03am on Septemba 26, 2009, Bigambo anasema…
Mi mzima
mi wa Musoma ndugu yangu lakini huko Bukoba wote
ni wajukuu zangu
Asante
At 4:32pm on Septemba 25, 2009, Alfan anasema…
Nashukuru sana Nacma kwa kupita kwangu na kuniombea dua.
Habari za huko Sengerema, ule mzigo ntakutumia week ijayo maana siku mbili hizi niko bize sana na majukumu.
Salamu kwa wote.

Ile zawadi nilishinda shindano kwa kujibu maswali aliyotoa CHA.
At 10:16am on Septemba 25, 2009, Dunda anasema…
Nacma hujambo nimepita kukusabahi natumai mzima salam wote wanaishi kibanda mjengo huu
At 9:37pm on Septemba 24, 2009, cool anasema…
kumbe unaishi shinyanga?mimi nimpita njia naenda mwanza msalimie babe
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter