Nipo fresh m2 wangu, habari ya pande za huko kwako. Naona ulipotea kama meno ya kuku hahahaaaa.
2po pa1 mwana
At 4:29pm on Ocktoba 30, 2009, Mama Malaika anasema…
Twalino!!
At 5:56am on Septemba 19, 2009, Babukadja anasema…
Sellasie I kaka. Tunapambana kusaka mkate na asali. Kila kitu kiko poa kabisa kasoro vijihofu tu vya hapa na pale tunavyoletewa na wanasiasa na viongozi wa dini ambao kila siku wanawaza kutugawa badala ya kutuweka pamoja. Lakini Jah shows de way man and we shall image as we have always imaged, AS ONE PEOPLE!