Jamani dada cherry loo mwenzako nina miezi sina connection bt natumia simu the problem with that is i cant leave comment kwa ukurasa lakini mijadala inakubali...nimekumiss sana..
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.