Eee bwana mbona umepotea ghafla! nimerudi home nikaambiwa toka umeondoka ujatia tim tena! kulikoni ndugu!vipi,upo na Hussen cos na yy sija mkuta home ,teacher ana wasabahi wote! bado upo A town au umesha songa mbele!!!
Onyo!!! tafadhali fanya yooooote!! UNIACHIE VADONDE WANGU!! MODE NITAKUTOA MACHO NDUGU YANGU! HUYO NDYE ANAYE NIWEKA MJINI hahahahahah!!!! wewe jitahidi na wa............
Comment Wall (11 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
Onyo!!! tafadhali fanya yooooote!! UNIACHIE VADONDE WANGU!! MODE NITAKUTOA MACHO NDUGU YANGU! HUYO NDYE ANAYE NIWEKA MJINI hahahahahah!!!! wewe jitahidi na wa............
mzima wewe.
mimi pia ni mtoto wa A/taun.na nimefanya kazi ktk comp.za kitalii sana nilivyokuwa TZ.
siku njema.
Lete habari.
Ona Maoni Yote