At 7:44pm on Februari 18, 2009, Babukadja anasema…
Duh! Ebwana hiyo kali, yani pamoja na kubrake even, mdosi bado akaona haitoshi na kuamua kuwawakia? That's not fair. Ila unajua dawa ni kuanza na your own place, because you got all the skills of running a place like that. Mie pia nilishindwana na wadosi kwa mambo kama hizo. Siwafagilii kabisa.