FotoBaraza.Net

Mathew Thomas Kawogo
  • Dar es Salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Shirikisha 
Twitter

Marafiki wa Mathew Thomas Kawogo

Makundi ya Mathew Thomas Kawogo

Mijadala ya Mathew Thomas Kawogo

 

Ukurasa wa Mathew Thomas Kawogo

Gifts Received

Gift

Mathew Thomas Kawogo has not received any gifts yet

Give Mathew Thomas Kawogo a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Desemba 31, 2009
Du! jana tumetumia uzoefu. Lakini tupoooooooo. Mwendo mdundo kwenye mtoano
Novemba 4, 2009
There is only one Manchester soccer club at Manchester City. Kama Maurinho alivyosema tehre is only one Ronaldo (de Lima) he knows.
Septemba 18, 2009
Septemba 17, 2009
Babukadja and Mathew Thomas Kawogo are now friends
Septemba 1, 2009
Aaaaah!!! Dr. Stiba pole sana kaka. Unajua mpira sio chenga tu. mpira ni mbinu. Oh mbinu zilizotumika sio za kisoka, yeye Wenger alidhani ujanja ni kuogelea? ujanja ni kuvuka mto, kuogelea ni mbinu mojawapo ya kuvuka mto. Kakutana na kisiki. Halafu…
Septemba 1, 2009
Bado mchezo ni kati ya wanaume 11 na wavulana 11. Woga umewazidi ndio maana wakajifunga; na hilo wameonewa? Basi matokeo ni 1 - 1. Wamefulia
Agosti 31, 2009
Wadau nimewapata muda mwingi sn mlipokuwa mkijaribu kuwekana sawa kwny takwimu sahihi za wazee, nikianzia na dada Cherry, kiukweli ukilinganisha huko mlipo na Tanzania yetu km case study ya tatizo hili hautaweza kuupata uhalisia hata dakika !, sabab…
Julai 1, 2009

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar es Salaam
Umri
35 years
Kazi Unayofanya
Programe Manager - HIV/AIDS & Gender Department, HelpAge International
Namba ya Simu ya Haraka
+255 777 888 770
Anuani ya Barua Pepe
kawogo@yahoo.com
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kiume

Comment Wall (30 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 3:37am on Desemba 31, 2009, cherry anasema…
At 10:41am on Septemba 17, 2009, Michuzi Jr anasema…
Heshima kwako mkuu.

natumai uko poa na unaendelea vyema na majukumu ya kila siku,nimepita kukujulia hali mkuu wangu.

PamoJah kaka.
At 1:31am on Juni 29, 2009, Ndekia anasema…
namshukuru Mungu things are more better than before,nipo kaka tuzidi kukumbukana. nakutakia blue monday njema brother
At 1:11am on Juni 25, 2009, Ndekia anasema…
MKUU HUWEZI AMINI SIJAPATA HATA NAFASI YA KUINGIA KATIKA MTANDAO WA JAMII,NILIKUWA BZE ILE MBAYA KWA SASA NIMEHAMISHIWA TBC 1,KULE REDIO TBC FM NIMESHATOKA,NAONA COMMENT YAKO MUDA HUU MPAKA NAJILAUMU. SASA SIJUI TUPANGE VIPI???? NAMI NAINGIA SIKU ZOTE OFISINI LABDA WIKI END NAKUWA NUSU SIKU OFISINI.... TUZIDI KUWASILIANA MKUU WANGU......
At 12:55pm on Juni 23, 2009, Michuzi Jr anasema…
nilikuwa sijauona ila sasa nimeuona ngoja nikachangie kidogo.
At 10:44am on Juni 23, 2009, Michuzi Jr anasema…
mkuu upooo??

nimepita kukuachia salamu zangu kaka,natumai humzima na ubukheri wa afya.

Pamoja Mkuu
At 10:46am on Juni 15, 2009, Oswald Jonh Akyoo anasema…
Hallow mr,Kawago,mambo vipi kaka,nimepita tu kukutakia siku njema
At 1:10am on Mei 2, 2009, Ndekia anasema…
nashangaa mkuu wangu hatuonani tangu siku ile ni muda umepita sana ila nashukuru unaendlea vizuri na majukumu ya kiofisi hata mimi nipo jujuu sana na hizi shughuli za kiserikali nadhani unafahamu vizuri,kaka tusitupane sana kiasi hicho hata mimi namba yangu ni 0717 422 668 au 0757 83 43 23 tuwasiliane kaka yangu nakutakia majukumu mema.
At 1:17am on Aprili 30, 2009, Ndekia anasema…
upo mkuu wangu?????
At 12:55pm on Machi 16, 2009, Jacqueline anasema…
nashukuru sana ndgu yangu, mzima lakini? mm mzima kiasi kwani nasumbuliwa na malaria na mafua. maisha vp lakini? maswali gani tena, mbona cyakumbuki?
 
 

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2010   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter