FotoBaraza.Net

Maingu
Shirikisha 

Marafiki wa Maingu

Makundi ya Maingu

Mijadala ya Maingu

 

Heri na baraka zake Muumba, ziwe juu yako uliekatiza mtaa huu!!

Gifts Received

Gift

Maingu has not received any gifts yet

Give Maingu a Gift

Yaliyojiri Muda Mfupi Uliopita

Maingu added a discussion
Hii thread nimekutana nayo mtaa wa pili. Naomba maoni yenu. "Dear God, this winter please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cellphone, Amen."
masaa 9 yaliyopita
nafikiri ungeanza kutembelea maduka ya kanga uone kama na wao ni wajanja au la!
on Monday
Mhhhhhh! Maingu hapa kweli ni solembaaaaaaaaaaaaaaaa haiwezekani unipende kweli na tuwe katika uhusiano kwa miaka miwili leo uanza nikataza kuwa karibu na yeyote yule anaekuhusu awe rafiki, jirani au ndugu hapa anaficha kitu au mapenzi kwa Linda y...
on Monday
Jamani kwani kutokuwa na Idea na kutokutaka kuwa nayo si uamuzi wa mtu kwani kunakosa kupenda unachopenda acha kumzengua mwenzio mbona kapendeza. Na wewe unasema kuiga kwingine kamuiga nani au wewe ulivaa kama hiyo ndio kakuiga mmh mwache mwenzio ...
on Monday
Ashagrace and Maingu are now friends
Novemba 26
Kweli binadamu sisi watu waajabu sana! Akitembea uchi mtadai hazimtoshi! kavaa nguo kustili maungo,mara ohhhh sijui hivi au vile! Kwani nini Lengo la kuvaa nguo?
Novemba 25
ukute kanunua mtumbani...
Novemba 25
Hiyo mbona ina afadhali, kuna watu wanavaa nguo WAFUNGWA na zina namba kabisa!
Novemba 25
Siyo kila kitu lazima kiwe Positive!!! The Guy is absolutely right!, why bother your brain when it reaches its limit?
Novemba 25
Leila left a comment for Maingu
Novemba 25
Hapa kumwitongo mkuu
Novemba 25
Mbona nzuri tu flana yenyewe?
Novemba 25

Wasifu Wangu

Uko Wapi?
Dar-Tz
Umri
wakutosha tu!
Kazi Unayofanya
Sales Supervisor (Travel Agent)
Namba ya Simu ya Haraka
0786/0754 452351
Anuani ya Barua Pepe
mainguz@yahoo.com
Mahusiano:
Married
Jinsia
-kiume

Picha za Maingu

Inapandisha...

Comment Wall (407 comments)

Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!

Jiunge na mtandao jamii huu

At 11:56am on Novemba 25, 2009, Leila anasema…
Mimi sijambo kaka, sijui wewe.. Hatuonani kijijini siku hizi..
At 6:57pm on Novemba 24, 2009, Mama Malaika anasema…
Habari za siku jirani? Naona tunafanya kupishana tu mitaani. Nakutakia siku njema
At 9:38am on Novemba 20, 2009, Dixon anasema…
Salamu zangu kwako, Nimuda sasa toka nimepita kijiji hiki. Siku hizi nimekuwa mkulima hahahaaa, shamba kwa sana mpaka msim uishe ndiyo naonekana kijijini. yote heri naona wote mu wazima. Nimefurahi kupita hapa na kukujulia hali. Tupo pamoja. Siku njema.
At 11:25am on Novemba 10, 2009, Bigambo anasema…
Uwe na mema yote siku zote
At 11:29am on Ocktoba 7, 2009, Mama Malaika anasema…
At 10:18am on Ocktoba 5, 2009, gerard paul anasema…
pole na majukumu mzima.kaz njema.
At 8:09pm on Septemba 30, 2009, Young anasema…

Mku kuwa na wakati mzuri
At 2:04pm on Septemba 30, 2009, Byanaku - Chui Mfalme anasema…
Happy besidei yako ya sikukuu ya kuzaliwa kaka.


ONE LOVE
At 2:04pm on Septemba 30, 2009, Astol Mwangomo anasema…
Hongera sna kaka,Nyamaza basi ndo imeshaingia duniani,Nakutakia maisha Marefu yenye Amani furaha na utulivu.
Uwe na siku njema.
At 12:39pm on Septemba 30, 2009, Mabagala anasema…
May God grant you a 1,000 years
 
 

Kuhusu

Babukadja Babukadja created this Ning Network.

Besdei za Kuzaliwa

 

© 2009   Created by Babukadja on Ning.   Create a Ning Network!

Beji  |  Report an Issue  |  Faragha  |  Terms of Service

Sign in to chat!
Free Web Counter
Hit Counter