kijana habari za hupo pole na winter. mi nimelikimbia mbana. hapa jua na mvua za hapa na pale. life inaendelea. maamzi ni magumu kaka. du yaani ile ishu ni nzito lakini mungu atasaidia.
Haha hhhah hapana najiandaa kumpokea mtoto Yesu jamni anakaribia kuzaliwa!!
Vipi baridi naona mwazidi kupulizwa nalo tuu poleni jamni na sie huku ni full ubusy yani acha tuu hata muda wa kuingia kwa net ni mchache sna haya nikutakie maandalizi mema ya Xmass na salam kwa pacha pia!
At 4:23pm on Desemba 1, 2009, Omari Namanji anasema…
mimi ni mzima kaka tupo
pamoja nakutakia jioni njema
baiiiiiiiiiiiiiiiiiii
At 4:54pm on Novemba 29, 2009, CHA the Great anasema…
Salama Lecturer?
At 1:43pm on Novemba 27, 2009, Omari Namanji anasema…