mkuu naona mashavu yanazidi kutuna tu, mpe hongera shem kwa kuyanenepesha.
2po pa1
At 8:52am on Novemba 25, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante kwa salamu, wajomba zako hawajambo pia. Nitafurahi mwakani tukikuona, ila jiandae mikiki ya wajomba na hadithi nyingi za kuwasimulia maana wanafurahi sana wapatapo mgeni mtanzania. Ha haa haaa
Poleni na storm, sie wanasema wiki hii yote zitanyesha. Majira yamebadirika sana. Ngoja tumsikie Babukadja atalonga nini huko Copenhagen mwezi ujao.
Salimia sana wifi mwambie namsubiria, na hiyo siku nitanunua bamia na kupika la mwidebe.
Jaji kutiki? ukomee? uliyo bwakisi na bhajungu? haya kaka uwe na jioni njema. naona siku izi upo kimya sana. Au na wewe mafuriko yamekupata? Umkesye semeki wani jaji
Comment Wall (1,127 comments)
Unahitaji kuwa mdau wa FotoBaraza.Net kuweka maoni!
Jiunge na mtandao jamii huu
2po pa1
Poleni na storm, sie wanasema wiki hii yote zitanyesha. Majira yamebadirika sana. Ngoja tumsikie Babukadja atalonga nini huko Copenhagen mwezi ujao.
Salimia sana wifi mwambie namsubiria, na hiyo siku nitanunua bamia na kupika la mwidebe.
POLE SANA NA MCHOKO WA ..KULI..
mimi niko poa kabisa mkuu,na kwenye mnuso nilirudi salama salimini.
PamoJah kaka.
Ona Maoni Yote