Yaani umenikumbusha mbali sana kwa picha hii, maana ilikuwa ndo mitaa yangu hiyo, tulichimba sana visima vya maji upande huo, kuanzia Hongoro na kuendelea. Kongwa - Mpwapwa, yaani we acha tu! Asante sana kwa picha na nimefurahi sana!
Pascal wala haujakosea, mshkaji tulikuwa nae cku ile ya mkutano wa Msasani Beach ambao RT alileta karanga. Mama Malaika we acha tu, nami nahic haruc itakuwa matata sana maana watu wameikamia mno, karibu nawe uje umpe mkono wa kheri mwanaFB mwenzet...
Kweli mkwe, hatuna muda mrefu kina Denzel na Malaika wataanza kutulaumu kwa kutowawekea vitega uchumi vya kuja kuwasaidia ukubwani! Huko kuna ardhi ya bure kabisa, wakazi wa huko wamelala ucngizi mzito
niambie mzazi wangu ishu zinaendaje????? nimeanza kujipendekeza kwenye idd sasa maana sikukuu umezoea kujitafunia peke yako............. msaada kwenye tuta...........
At 3:52pm on Novemba 23, 2009, Mama Malaika anasema…
Asante kwa salamu. Mkwe mwenzio anafurahi sana kukuona ulivyolikamata tractor... anauliza aje akuunge mkono??